Je,nini wakulaumiwa?

Je,nini wakulaumiwa?

Sanoyet

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
1,323
Reaction score
296
Wapendwa,kila nikikumbuka nachanganyikiwa. Mwaka 1993 nilinanihii na dada yangu usiku,mvua ilikuwa inanyesha kwa fujo,chumba cha dada kilikuwa kinavuja sn,akaamua kuja kulala kwangu,vituko alivyofanya humo vilifanya nipate 0 ya uzalendo.I repent 4 it
 
u don't have to say it
 
heeeee!!!!
Holy virgin mother of Guadalupe......have mercy
 
mmh! wakorintho 5:1-2 yasema, yakini habari imeenea ya kuwa kwenu kuna zinaa, na zinaa ya namna isiyokuwako hata katika mataifa kwamba mtu awe na mke wa babaye (awe na dadaye), nanyi mwajivuna wala hamkusikitika! nenda katubu mbele za Mungu. wewe unakuja hapa JF unatafuta nani wa kulaumiwa ina maana wana JF walikuwa wanashuhudia kilichokuwa kinaendelea? mzinzi mkubwa wewe!
 
daaah pole sana, kwani dada yako nae anajuta au hajali? kama ilikuwa 1993 i bet mlikuwa watoto ila kama mlikuwa mshabalehe basi akili zenu wote zinashida. 1993 ni mbali sana kama bado unaikumbuka unataka kurudia mechi? what if akikufanyia vituko vile now utakuwa na uzalendo au utakushinda tena? Kama ni dada wa tumbo moja yaani baba mmoja na mama mmoja imekula kwako ni laana ila kama ni binamu wee ipotezee tuu mradi hamjazaa na hamrudii tena.
 
mmh! wakorintho 5:1-2 yasema, yakini habari imeenea ya kuwa kwenu kuna zinaa, na zinaa ya namna isiyokuwako hata katika mataifa kwamba mtu awe na mke wa babaye (awe na dadaye), nanyi mwajivuna wala hamkusikitika! nenda katubu mbele za Mungu. wewe unakuja hapa JF unatafuta nani wa kulaumiwa ina maana wana JF walikuwa wanashuhudia kilichokuwa kinaendelea? mzinzi mkubwa wewe!

jamani kwanini watu mnakuwaga na lugha za hivi!!!!!!
 
Ni dada wa kuzaliwa kabisa mkuu? Mlikuwa na umri gani wakati huo? Fafanua haya kasha nikushauri cha kufanya
 
hapana mkuu najua watu wote tunafanya makosa hata wakati mwingine kutenda dhambi kama hizo ila inapofikia unazini na dada yako? mama yako? mtoto wako? dah kidogo mie inatia maudhi mkuu! but was not attack at all.
 
Wapendwa,kila nikikumbuka nachanganyikiwa. Mwaka 1993 nilinanihii na dada yangu usiku,mvua ilikuwa inanyesha kwa fujo,chumba cha dada kilikuwa kinavuja sn,akaamua kuja kulala kwangu,vituko alivyofanya humo vilifanya nipate 0 ya uzalendo.I repent 4 it

Hapa ilaaniwe mvua iliyonyesha kwa fujo usiku...
 
Ni dada wa kuzaliwa kabisa mkuu? Mlikuwa na umri gani wakati huo? Fafanua haya kasha nikushauri cha kufanya

Ni wa kuzaliwa kabisa! 1993 yeye alikua na miaka 24 na mimi 21
 
hapana mkuu najua watu wote tunafanya makosa hata wakati mwingine kutenda dhambi kama hizo ila inapofikia unazini na dada yako? mama yako? mtoto wako? dah kidogo mie inatia maudhi mkuu! but was not attack at all.

sawa my dia
 
Ni wa kuzaliwa kabisa! 1993 yeye alikua na miaka 24 na mimi 21

OK. Kabla ya hapo mlikuwa na feelings zozote kati yenu au ilitokea ghafla tu siku hiyo? Kwa sasa mnapoonana mnakumbukaga hilo tukio kwa pamoja au hamlizungumzii kabisa mkiwa pamoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom