Nedd Ludd
Senior Member
- May 16, 2023
- 134
- 240
Habari ndugu wana JF,
Mmimi naomba kujua umuhimu wa kuhakiki vyeti RITA, kwasababu hadi leo hii sijajua maana ya kufanya hivyo.
Maana vyeti wanatoa wao lakini pia wanahitaji kuhakiki, kwahiyo wanavyotoa vyeti zile taarifa huwa hawahifadhi au wakati wa usajili wa cheti husika hawawezi kuhakiki kabisa? Tafadhali mnaofahamu naomba mnifahamishe.
Lakini pia, kwenye mfumo huo wa kuhakiki awali malipo yalikuwa ni TZS 3,000 kwa kila cheti, ghafla gharama zimepanda hadi Tsh. 6,000 kwa kila cheti, nayo hii ipoje wakuu?