Je, nini kifanyike kuboresha mipango miji ya Manzese? Napendekeza walipwe fidia na watimuliwe wote

Ukiachana na mpangilio, usafi ni changamoto. Aliyepo akiondoka bila kuweka mpangokazi wa usafi hata miundombinu itakuwa majalala.
Hata gari za taka kuingia mitaani kukusanya taka zinashindwa kutokana na ufinyu wa mitaa, hii haivumiliki
 
Asilimia 75 ya Dar iko hivyo

Kigambon kuna vitongoji kama
Magogoni
Vijibweni

Kuna Magomeni Ile ya Jangwani
Kindondoni mkwajuni.
Biafra..
Mwananyamala

Keko yote.
Mbagala yote
 
Napendekeza nyumba zote za Manzese zifanyiwe tathmini na wamiliki wake walipwe fidia ili kupisha uboreshaji wa mandhari ya jiji, ile takataka inayoitwa Manzese haivumiliki, no way!
View attachment 1320572
Ukiangalia topographic maps za zamani, sehemu kubwa ilikuwa ziwa - Lake Manzese. Ziwa likiambatana na njia au vyanzo vya maji kuingia na kutoka hapo.
Fidia unazungumzia billions ngapi? Hapo lazima wale walaji watie mikono yao wachukue sehemu kubwa ya pesa.
 
Napendekeza nyumba zote za Manzese zifanyiwe tathmini na wamiliki wake walipwe fidia ili kupisha uboreshaji wa mandhari ya jiji, ile takataka inayoitwa Manzese haivumiliki, no way!
View attachment 1320572
Hawatakiwi kulipwa fidia badale yake serikali ijenge majengo ya ghorofa Kuanzia 6 mpaka 10.
Mfano jengo moja lichukue familia 20 hadi 30, then majengo 10 kuna familia kati ya 200 hadi 300,
Kwa style hii kuna maeneo yatabaki wazi na serikali inaweza kufanya vitu vingine kama recreational parks na uwekezaji mwingine.
Ukiwapa fidia wataenda kutengeneza manzese nyingine huko waendeko.
 
Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…