Je, ninaweza kudownload video nusu?

Je, ninaweza kudownload video nusu?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,413
Wadau habari za huko kwenu?

Rejea mada tajwa hapo juu, kuna video nataka kudownload ina urefu wa dakika 27 na 300MB ila mimi nataka dakika 3 za mwanzo tu.

Lengo langu ni kuokoa Megabytes iwapo nitadownload yote afu niikate.

Asante
 
Ki theory unaweza ila practically ngumu unaweza hata usisave hizo mb, software inaweza download hizo dk 3 lakini ikawa ime buffer mpaka dk 10.

Njia nyengine ninayofikiria ni kutumia video editor za online ambazo zina option ya kufetch file remotely.

Unatafuta url ya video husika bila kudownload file unapaste ile url kwenye online video editor kwa kutumia internet yao unalikata file huko huko online na kudownload kipande tu.

Google online video cutter
 
Back
Top Bottom