Je, nimekosea kuwapotezea baadhi ya ndugu zangu? Naomba ushauri tafadhali

Nawasalimu nyote!

Moja kwa moja kwenye mada, historia yangu ina changamoto nyingi. Naamini kila mmoja ana changamoto yake. Kwa kifupi ni kwamba nimezaliwa kwenye familia ya wake wawili...
Namba ya Shemeji wa Kisambaa uliyeachana nae tafadhali
 
Ukijifanya kuwa mwema kwao utajikuta umerogwa utaishia kuwa chizi, mauti au kufulia.
Kuna watu hupaswi kuwa nao karibu kwa hali yoyote ile.
Shetani ni yule yule anachofanya ni kujibadili majina tu .
 
Fanya moyo wako unavyokutuma lakini ni nzuri zaidi ungesahau na kupotezea yote waliyokufanyia.Wasaidie tu hilo halitokuharibia chochote,kumbuka huo uwezo ulionao ni Mungu aliyekupatia,wasaidie tu ili isije kuwa hukumu kwako mda mwingine Mungu anakubariki ili akupime imani yako.

Kutokuwasaidia ni kulipa kisasi wakati Mungu alisema kisasi ni cha kwake yeye mwenyewe.Mpende adui yako,usikijaze kifua chako chuki isiyokuwa na mwisho.Wasaidie aibu itakua juu yao na si juu yako.
 
Nawasalimu nyote!

Moja kwa moja kwenye mada, historia yangu ina changamoto nyingi. Naamini kila mmoja ana changamoto yake. Kwa kifupi ni kwamba nimezaliwa kwenye familia ya wake wawili...
Tunafanana kidogo kihistoria

Mtu anayeguswa na shida na tabu yako na kukupenda wakati wa shida ndiye anayekupenda KWELI.

Huyo anayekupenda sasahivi ni anakupenda kwasababu ya kitu flani sio kutoka moyoni...na akifanikiwa ndio basi tena

Nakushauri kuwa jenga uchumi wako, deal na mambo yako

Unaweza kuwasaidia na bado wakaendelea kukusema kimya kimya na ikitokea ukafulia wao wakapanda kiuchumi UTAKOMA
 
Kuunga undugu ni sababu ya kuongezeka kwa rizki kama ipo ndani ya uwezo wako fanya kwa ajili ya mwenyezi Mungu na si mwanadamu. Malipo utayakuta mbele.
 
Hakuna!! Asamehe hiyo vipi? Kwenye kukata hiyo migogo ili apate ada angeshuka mshipa wangemsaidia hata matibabu? Vipi km angepata tb au ulemavu wowote? Angeishia kuwa chokoraa au kibaka au teja kutokana na kutengwa na kudharauliwa ingekuwaje?

Mbona mnapenda kujazana unyonge bila sababu za msingi? Kwa kukushauri tu, mleta uzi, wanunulie smart 4n ndugu zako wote bila kumsahau baba ako, kisha anzisha group la whatsp, waunge wote, thereafter, anza kula bata huku unapiga picha na kuzitupia kwa group kila siku!

Hata ukiweza nenda viwanja vikubwa km mahoteli makubwa, piga picha ondoka, kawapostie, wakijileta tu unawapa kubwa, unawachana live bila chenga! Bila kusahau kutupia status za vijembe kwa baba ako, anza na hizi chache:

Uliookota nae kuni ndie utaota nae moto.

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Mama yangu ndio kila kitu kwenye maisha yangu.

Mtu mwenye kitu, asie na kitu kinyama cha mwitu.

Kikulacho ki nguoni mwako.

Mchawi ndugu, paka katumwa tu.
duuuuuuuuuh! Nimecheka kwa sauti, kwa upande wangu namshauri mtoa mada awe mbali mnoo na hao nduguzake(wafitini)
 
Hakuna!! Asamehe hiyo vipi? Kwenye kukata hiyo migogo ili apate ada angeshuka mshipa wangemsaidia hata matibabu? Vipi km angepata tb au ulemavu wowote? Angeishia kuwa chokoraa au kibaka au teja kutokana na kutengwa na kudharauliwa ingekuwaje?

Mbona mnapenda kujazana unyonge bila sababu za msingi? Kwa kukushauri tu, mleta uzi, wanunulie smart 4n ndugu zako wote bila kumsahau baba ako, kisha anzisha group la whatsp, waunge wote, thereafter, anza kula bata huku unapiga picha na kuzitupia kwa group kila siku!

Hata ukiweza nenda viwanja vikubwa km mahoteli makubwa, piga picha ondoka, kawapostie, wakijileta tu unawapa kubwa, unawachana live bila chenga! Bila kusahau kutupia status za vijembe kwa baba ako, anza na hizi chache:

Uliookota nae kuni ndie utaota nae moto.

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Mama yangu ndio kila kitu kwenye maisha yangu.

Mtu mwenye kitu, asie na kitu kinyama cha mwitu.

Kikulacho ki nguoni mwako.

Mchawi ndugu, paka katumwa tu.
 
Tatizo nafsi inagoma kabisa.
Mkuu acha kuwasaidia hao nia yao uanguke tn wakucheke na kama nafsi haitaki acha kabisa ndugu yngu... Wangekuwa bado wapo kileleni wangrkutafuta?!! Jiulize swali dogo hilo tuu!! Wasingekutafuta na dharau zingezidi mnoo!! Kausha achana nao
 
uko sahihi...unasema roho inagoma...ingegoma kibabe,,,,hata hapa usingekuja kuomba ushari broo....umezaliwa MWANAUME....ni nduguzo...walishakuvuruga mno.....ila ile fujo ndio ulikuwa upenyo ukafika hapo....ni DAMU yako...UNDUGU hauombwi blaza....jitathmini vema,,,ongea na MKEO...........hao unawasaidia kwa MKATABA.....draft a simple family agreement.....nakupa huu mkopo na unalipa kwa riba.....umemaliza ....akianguka huko hawezi rudi......MUNGU alikupitisha huko ili uje UWABEBE..........YUSUFU aliuzwa na nduguze wa DAMU......na yeye ndio aliewakoa na BAA LA NJAA......tchaooos...
 
Sawa nimepokea ushauri
 
Nimekupata mkuu
 
Tunafanana kidogo kihistoria

Mtu anayeguswa na shida na tabu yako na kukupenda wakati wa shida ndiye anayekupenda KWELI.

Huyo anayekupenda sasahivi ni anakupenda kwasababu ya kitu flani sio kutoka moyoni...na akifanikiwa ndio basi tena

Nakushauri kuwa jenga uchumi wako, deal na mambo yako

Unaweza kuwasaidia na bado wakaendelea kukusema kimya kimya na ikitokea ukafulia wao wakapanda kiuchumi UTAKOMA

Ninafocus sana kwenye kujenga uchumi wangu kadiri navyoweza. Kule sitaki kurudi aisee
 
Kama uwezo upo na msaada wako hauathiri shughuli zako mi nashauri wasaidie tu.

Kuwasaidia haimaanishi kujenga ukaribu nao, laah bali ni msaada tu na si ukaribu. Hapo umesema wanamtumia mzee wako pia si mbaya kwasababu hamtokutana wala kuongea kwa ukaribu bali mna kiungo pale (mzee), mtumie huyohuyo.

Ni kama tu diamond na mzee wake, anamsaidia lakini hawana ukaribu ila akitaka kusaidiwa anasaidiwa ivo tu yani.

Kwahiyo saidia unapoweza ila usijenge ukaribu na mazoea ya kijinga. Hakuna tuzo za ubaya mkuu, kama ulivyo sema awali mwisho wa ubaya ni aibu hata wewe ukifanya ubaya unawezs kuanguka pia.
Watu hubadilika.
 
Ndivyo nilivyofanya. Nimemwambia Mzee nina ukata mbaya kwa sasa akanielewa. Nimempa na ushahidi maana nina miradi yangu nimewekeza hela wiki mbili zilizopita akanielewa.

Dada hathubutu hata kunitafuta moja kwa moja
Waweza ongezea kuwa gari naliuza haliuziki nimeteremsha bei hakuna mteja !!! Hahaha
 
Hawa ndugu Kaa nao mbali na venye una mke mzungu na Uropa umetimba yaani wanateseka Sana Sana wanatamani wawe karibu yako wakuroge urudi ulikotoka
Wajumbe sio watu,
Adui Yako ni mtu wa nyumbani mwako Kaa nao mbali kataa shobo

Kama unawasaidia watumie pocket money ila usikaribiane nao wakusikie Kwa Bomba tu Jenga ukaribu na hao ndugu zako wa tumbo Moja mkuu ndio ndugu wa kweli wengine hao wanakupendea vitu tu!

Beelzebub is devil put aside of you!
 
Back
Top Bottom