Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

Analog

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
335
Reaction score
631
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii.

Ni moja kati ya dalili mbaya mno inayodhihirisha juu ya kukaribia kwa siku ya qiyama(mwisho wa dunia).

Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie tutahadhari na tumrejee MUUMBA wetu kwa maana maasi na dhambi zimezidi mno.

CHUKUA HATUA NDUGU YANGU NA USINGOJE KUCHELEWA.
 
Aisee kweli ujinga ni kipaji

Ebu pata elimu kidogo
 
Attachments

  • Screenshot_20240408-060544.png
    Screenshot_20240408-060544.png
    207.8 KB · Views: 12
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii.
Ni moja kati ya dalili mbaya mno inayodhihirisha juu ya kukaribia kwa siku ya qiyama(mwisho wa dunia).
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie tutahadhari na tumrejee MUUMBA wetu kwa maana maasi na dhambi zimezidi mno.
CHUKUA HATUA NDUGU YANGU NA USINGOJE KUCHELEWA.
Maelezo yako yamefungwa na ujinga (kutokuelewa mambo)

Dini zitakupelekesha hisia zako tu

Unadhan ni mara ya kwanza kupatwa kwa jua?
 
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii.
Ni moja kati ya dalili mbaya mno inayodhihirisha juu ya kukaribia kwa siku ya qiyama(mwisho wa dunia).
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie tutahadhari na tumrejee MUUMBA wetu kwa maana maasi na dhambi zimezidi mno.
CHUKUA HATUA NDUGU YANGU NA USINGOJE KUCHELEWA.
Self delusion is a gift of natural selection.
 
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii.
Ni moja kati ya dalili mbaya mno inayodhihirisha juu ya kukaribia kwa siku ya qiyama(mwisho wa dunia).
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie tutahadhari na tumrejee MUUMBA wetu kwa maana maasi na dhambi zimezidi mno.
CHUKUA HATUA NDUGU YANGU NA USINGOJE KUCHELEWA.
Achana na imani za kipumbavu kama hizo. Kupatwa kwa jua sio mara ya kwanza kutokea Duniani mbona hicho kiyama unachokisema hakijatokea ama allah hajui kwamba kupatwa kwa jua hutokea mara nyingi tu?

Dini zinafundisha mambo ya kipumbavu sana. Dini zinapumbaza sana watu.
 
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii.
Ni moja kati ya dalili mbaya mno inayodhihirisha juu ya kukaribia kwa siku ya qiyama(mwisho wa dunia).
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie tutahadhari na tumrejee MUUMBA wetu kwa maana maasi na dhambi zimezidi mno.
CHUKUA HATUA NDUGU YANGU NA USINGOJE KUCHELEWA.
Humo kichwani kumejaa minyoo sio bure
 
Siku ya qiyama ndo siku ya kula nyama?
 
Hili jambo, linabebwa tofauti na imani fulani fulani, kuna baadhi ya madhehebu ya imanj fulani, huwasikii wakihusisha hii mambo na "qiyama" au uchawi!

Nini tafsiri ya hayo yote? Je, ni yale maono ya babu wa Loliando aliyekuwa na bleach la kikongo?
 
Uyu anaonesha kiwango kikubwa cha ukosefu elimu alionao na kumezeshwa dini ambayo pia haielewi kabisa. Kiufupi naeza kusema ameweuka bila kujijua.
 
Mleta mada usichanganye mambo.
Kupata kwa jua ni kawaida sana na si mara ya kwanza kutokea. Na ni sehemu ndogo sana ya dunia ita shuhudia hilo.

Hicho unachosema kuhusu dalili za mwisho ni Jua litatiwa giza, maana yake Dunia yote itakuwa giza.
 
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii.
Ni moja kati ya dalili mbaya mno inayodhihirisha juu ya kukaribia kwa siku ya qiyama(mwisho wa dunia).
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie tutahadhari na tumrejee MUUMBA wetu kwa maana maasi na dhambi zimezidi mno.
CHUKUA HATUA NDUGU YANGU NA USINGOJE KUCHELEWA.
Utadhani jua limeanza kupatwa leo!
 
Kumcha Mungu huenda mmeshachelewa.

Nyota ya Pakanga ile iliyotajwa ktk kitabu cha ufunuo inaenda kutokea.
Jua litatiwa giza na Nuru itapotea.

Gogu na magogu tunasikia huko Middle East Wanaitana kuushambulia Mji wa Mungu wa Yerusalem majeshi wapatao kumi elfu mara ishirini elfu.

Ndugu zangu Kiyama kimeshaingia
 
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii.
Ni moja kati ya dalili mbaya mno inayodhihirisha juu ya kukaribia kwa siku ya qiyama(mwisho wa dunia).
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie tutahadhari na tumrejee MUUMBA wetu kwa maana maasi na dhambi zimezidi mno.
CHUKUA HATUA NDUGU YANGU NA USINGOJE KUCHELEWA.

ELimu ELimu Elimu - E.N.L(2015).

Africa tutapata Total Solar Eclipse 30 April 2041.
 
Back
Top Bottom