je nikitumia njia hii nakosea???

je nikitumia njia hii nakosea???

jaman kwema wanajamvi??/ mm ni mbint nimekua na mahususiano na watu 3 tofauti wote kuishia kunitenda wengine kushindana kitabia tangu mwaka juz nimeamua kuachana na mahusiano na kutumia njia hii ili kujiridhisha mwenyewe pindi naposikia ham ya ku do!! huwa nikifika kitandani najishika ki*** SI***MI mpaka niifikie mshindo naridhika nalala njia nimeeitumia kwa muda wa miaka 2 na nusu na naridhika kabisa mpaka pale nitakapo mpata mwenza wa kuishi nae je wanajamvi nakosea au niko sawa ushauri plsee!!!!
Mtu ambaye amezoea kujichua hata siku moja hawezi kufikiria kupata mwenza na hata akimpaka mara nyingi huwa haridhiki na kile ambacho mwenza wake humpa,kama una malengo ya kuishi na mume ndani basi acha kabisa huo mchezo maana utakuja kujuta baadae ingawa kwa sasa unaona ni njia bora sana kwako katika kujiridhisha.

Nina mfano wa dada mmoja ambaye alikuwa na mchezo huu na baadae akaishia kuwasaga wenzake na nakwambia mpaka leo hana mtoto wala hajaolewa.
 
Endelea tu kujichua mwaya haya mengine stress kila sekunde!!!
 
upo sawa kabisa......na mtu asikubabaishe.........
Preta, we unafanya hivyo?????. hapana aache tabia hiyo ni mazoea mabaya. Namshauri asali sana na Mungu atamsaidia. Kama ni muumini wa kikristo ajiunge na kwaya atapata faraja kwa mapambio ya YESU.
 
Tena akina maimanta wanauza na zile ndizi! Akiwa nayo mbona mwake mwake! Hata ndoa hahitaji tena!
 
Kama ukiendelea zaidi itakuwa hata ukpata njemba hatakuridhisha. Tumia nja hiyo kama dharura na sio ada. Mwishowe utakuwa huna aibu wala heshima. Itakuharibu kisaikologia. Kama ingekuwa ni ada basi muumba asinge tengeneza jinsia mbili.
 
endelea kujichua mwaya,its safe....unajipimia tu,its gud mwili wako unaujua mwenyewe hapa nijiongezee spidi hapa nipunguze :becky::becky:,mie nimejichua sana sema siku hizi utu uzima unanijia sijichui kama zamani......
 
Ukiona hizi support ujue waathirika ni wengi........tehe tehe,mpe hi Mamushka,​simuoni humu jamvini bana!

Weeee ........ha ha.....nitampa hi ila basi niPm kidogo unisabahi.......
 
Preta, we unafanya hivyo?????. hapana aache tabia hiyo ni mazoea mabaya. Namshauri asali sana na Mungu atamsaidia. Kama ni muumini wa kikristo ajiunge na kwaya atapata faraja kwa mapambio ya YESU.

Ungejua kuwa wanakwaya ndo hawai unsinge mshauri hivyo hivyo, Happy amosi go ahead. Hata watalamu wameshundwa kuthibitisha madhara ya hiyo kitendo. nawaunga mkono wa akina preta na evelyn salt kwa ushauri wao kwako
 
Back
Top Bottom