chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,450
- 1,753
He he he.......halafu siku nyingine uangalie post imepostiwa saa ngapi......tih tih tih.....
Alafu akisha angali then wat?
He he he.......halafu siku nyingine uangalie post imepostiwa saa ngapi......tih tih tih.....
wewe usimdanganye mwenzio, ni dhambi. msaidie tu aepuke hako ka mchezo, ni kabaya. kama vipi mpigie pande hata kwa kaka ako au jamaa wa karibu aoelewe, akikaendekeza kuolewa ndo basi tena, asahau......upo sawa kabisa......na mtu asikubabaishe.........