Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

Njoo kwangu
Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.

Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.

Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?

On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.

Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.

Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
hata dada anatatizo moja kufanya mapenzi na mtu ambaye hawajafunga ndoa pili kuna element ya ubinafsi kuombwa hela akachanganya eti kwa kuwa ana "gari'
Shukuru mungu kama uliweza kukaa au bado hufanyi hadi ndoa. kwa mimi sex kabla ya ndoa ni lazima. Na sio ubinafsi, mtu unawezaje kumuomba binti wa watu milioni? nini kinakuonyesha anaweza kuwa na kiasi hicho cha pesa? ndo nkasema labda kwa sabb ya haka kausafiri nilikonako. Mimi si mbinafsi sabb nnapomtumia mama ang ninamtumia na yeye pia, hapo ubinafsi wangu ukwapi. Ni heri walioniuliza deep nkawaelewesha PM kuliko mtu hujajua kiundani unanijudge tu
 
You are a good woman and lucky to have a good man as you say.

The bond between a mother and her son is very strong and therefore you need to know this so that if you wish to have your man to yourself you have to ensure that the ties with his Mom are not affected in any way.

Acha abaki kwao, subiri any moves towards making you his. Kama ni mahari, kama ni engagement just be patient.

His Mom is your Mom hakuna haja ya rivalry between the two of you na hapo ndo wanawake wengi huwa tunakosea. Kumuona Mama Mkwe kama rival.

Mdekeze, mpelekee vijizawadi kulingana na uwezo wako. Ukiwa huna let her know politely.

If you find a good man hold on to him with all it takes. All the best.
 
The bond between a mother and her son is very strong and therefore you need to know this so that if you wish to have your man to yourself you have to ensure that the ties with her son are not affected in any way.

Acha abaki kwao, subiri any moves towards making you his. Kama ni mahari, kama ni engagement just be patient.

His Mom is your Mom hakuna haja ya rivalry between the two of you na hapo ndo wanawake wengi huwa tunakosea. Kumuona Mama Mkwe kama rival.

Mdekeze, mpelekee vijizawadi kulingana na uwezo wako. Ukiwa huna let her know politely.

If you find a good man hold on to him with all it takes. All the best.
Thank you ma, ila kuna vtu sijavisema kuepuka kufungua code, there is a lot behind this story that makes me scared to carry on
 
Open up you will find good advice.

Huna unachopitia kitakachokuwa jipya chini ya jua.
 
Shukuru mungu kama uliweza kukaa au bado hufanyi hadi ndoa. kwa mimi sex kabla ya ndoa ni lazima. Na sio ubinafsi, mtu unawezaje kumuomba binti wa watu milioni? nini kinakuonyesha anaweza kuwa na kiasi hicho cha pesa? ndo nkasema labda kwa sabb ya haka kausafiri nilikonako. Mimi si mbinafsi sabb nnapomtumia mama ang ninamtumia na yeye pia, hapo ubinafsi wangu ukwapi. Ni heri walioniuliza deep nkawaelewesha PM kuliko mtu hujajua kiundani unanijudge tu
Endelea kumpa elimu na muda atabadilika ila usichukue maamuzi mapema
 
Bin adam bwana...wakitendwa wanasema wenzao makatili...wakipendwa na kuthaminiwa wanatafuta soft reasons za kutembea mbele...halafu baada ya muda mfupi umri umetembea, chance za kupata mtu sahihi zinapungua, wanaanza kutia huruma na kukimbilia kawe kukanyaga mafuta..

Ni rahisi sana kupata pesa ila sio rahisi kuupata upendo wa kweli hasa ukiupoteza kwa makusudi...Mtu hata hujaongea nae ukaona response yake tayari ushafikia 75% conclusion ya kumuacha.

Unless kuna sababu nyingine uliyoamua kuificha..hustahili kukurupuka kiasi hiki.
 
Nafata ushauri wako mkuu, na kama ulivyosema yes kuna vtu nimevificha
 
nice comment
 
Nafata ushauri wako mkuu, na kama ulivyosema yes kuna vtu nimevificha
Funguka...ukweli utakuweka huru na uapata ushauri mujarabu...habari za kuweka taarifa nusunusu hazikusaidiii...Kama una nia ya dhati ya ushauri wa wana JF, usifiche kitu.
 
Kuficha kwangu ni sababu sijui kama yumo humu au lah, nngeenda deep angejua ni yeye tu. Ila yaliyopo ni mengi tu. Mawazo yaliyopatikana yamenifungua akili vile vile
 
Mkuu..natamani nikuulize maswali mengi ili niwe katika angle nzuri ya kukushauri ila sitaki niichimbe sana story yako as long as wewe binafsi umeamua kuweka privay kwa baadhi ya vitu....

Ninachoweza kusema, Chukua muda wako..yatafakari yote ambayo yanakupa mashaka (plus hayo uliyoyaficha)....jipe muda kutafakari, na kila unalolitafakari kukutia mashaka, jaribu kulitafutia njia za kulitatua...halafu mwisho wa siku yatafakari maamuzi yako, either kubaki au kuondoka...na kila uamuzi kati ya hizo amuzi mbili, jaribu kufikiria faida na hasara zake..Hapa kwenye kufikiria faida na hasara zake, usiendeshwe na hisia za chuki au upendo....Nakuombea kwa Mungu uongozwe na hisia za hatma juu ya kesho yako...Baada ya tafakuri ya kina, chukua maamuzi...

Ukishindwa kufikia maamuzi binafsi, try to share na baadhi ya watu ambao unawaamini..sana sana watu wasiokujua kama JF ndio wanaweza kukupa ushauri wa kweli kuliko marafiki ambao wengine wanaweza kukupa ushauri wa kukuharibu ili uwe kama wao au wachukue nafasi..All the best katika hiyo 'SWOT ANALYSIS'.

You are a good woman and lucky to have a good man as you say.

The bond between a mother and her son is very strong and therefore you need to know this so that if you wish to have your man to yourself you have to ensure that the ties with his Mom are not affected in any way.

Acha abaki kwao, subiri any moves towards making you his. Kama ni mahari, kama ni engagement just be patient.

His Mom is your Mom hakuna haja ya rivalry between the two of you na hapo ndo wanawake wengi huwa tunakosea. Kumuona Mama Mkwe kama rival.

Mdekeze, mpelekee vijizawadi kulingana na uwezo wako. Ukiwa huna let her know politely.

If you find a good man hold on to him with all it takes. All the best.
Umemshauri vizuri sana! Issue hapo ni kuuteka moyo wa mama tu! Akiweza basi mama atampenda kuliko hata kijana wake! Wanaume wenyewe sisi tuliobaki mpaka tujibust na Moo energy ndo bamia inashtuka! Ampambanie mwanaume wake wa kweli! Mambo mazuri hayaji kirahisi tu, she has to sacrifice!
 
Mkuu..natamani nikuulize maswali mengi ili niwe katika angle nzuri ya kukushauri ila sitaki niichimbe sana story yako as long as wewe binafsi umeamua kuweka privay kwa baadhi ya vitu....

Ninachoweza kusema, Chukua muda wako..yatafakari yote ambayo yanakupa mashaka (plus hayo uliyoyaficha)....jipe muda kutafakari, na kila unalolitafakari kukutia mashaka, jaribu kulitafutia njia za kulitatua...halafu mwisho wa siku yatafakari maamuzi yako, either kubaki au kuondoka...na kila uamuzi kati ya hizo amuzi mbili, jaribu kufikiria faida na hasara zake..Hapa kwenye kufikiria faida na hasara zake, usiendeshwe na hisia za chuki au upendo....Nakuombea kwa Mungu uongozwe na hisia za hatma juu ya kesho yako...Baada ya tafakuri ya kina, chukua maamuzi...

Ukishindwa kufikia maamuzi binafsi, try to share na baadhi ya watu ambao unawaamini..sana sana watu wasiokujua kama JF ndio wanaweza kukupa ushauri wa kweli kuliko marafiki ambao wengine wanaweza kukupa ushauri wa kukuharibu ili uwe kama wao au wachukue nafasi..All the best katika hiyo 'SWOT ANALYSIS'.

Asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom