kassimukassimu
Member
- May 6, 2020
- 7
- 7
Naomba ushauri Nina eneo kubwa kama hekari kumi nahitajikufuga je nifuge mbuzi au ng'ombe aupia pendekezo jengine wapendwa!
Naomba ushauri Nina eneo kubwa kama hekari kumi nahitajikufuga je nifuge mbuzi au ng'ombe aupia pendekezo jengine wapendwa!
Hapa nitakupinga kwa herufi kubwaMkuu binafsi ntakushauri ukufuge vyote hii itakupa faida zaidi mbuzi wanafaida ya haraka lakini ndogo na ng'mbe wanafaida ya kuchelewa lakini kubwa
Hapa nitakupinga kwa herufi kubwa
Mazala=MadharaUnaweza fuga wote kwakua hawana mazala baina yao.
Kweli jua ni kali 😂😂😂 kwani wewe umehisi hii post yake kaiweka jukwaa gani????Mada yako peleka jukwaa la kilimo na mifugo mkuu, huko unaweza kupata msaada ila hapa mada yako haipo sehemu husika
Kwa nini asifuge vyote kwa pamoja. TiririkaHapa nitakupinga kwa herufi kubwa
Nikikuuliza Kati ya BMW na MB ninunue Ipi utanishauri ni u ue zote mbili?Kwa nini asifuge vyote kwa pamoja. Tiririka
Motivational speakers sio wa mchezo.Panda miti ya mbao. Mitiki for example. Baada ya miaka 7 unaenda kuombea mkopo bank. Pia waweza kuweka mbuzi coz wanazaliana haraka afu hawahitaji matunzo makubwa kama ng'ombe.
Irrelevant.Nikikuuliza Kati ya BMW na MB ninunue Ipi utanishauri ni u ue zote mbili?
Nimekukaririsha.
Mbuzi watakula hiyo miti yotePanda miti ya mbao. Mitiki for example. Baada ya miaka 7 unaenda kuombea mkopo bank. Pia waweza kuweka mbuzi coz wanazaliana haraka afu hawahitaji matunzo makubwa kama ng'ombe.
Mkuu umeangalia lakini post yake ilikuwa ya muda gani na hadi wewe unacoment umepita muda gani? Anyway moderater waliuhamishia hukuKweli jua ni kali kwani wewe umehisi hii post yake kaiweka jukwaa gani????