Hiyo ndio miamba ya jf kila jukwaa wapo
Ukitaka kuanzisha kiwanda cha vinywaji kwanza kabisa andaa eneo,pia andaa proposal na chukua sample ya hicho kinywaji peleka TBS,MKEMIA n.k upewe kibali baada ya kupima sample yako na baada ya hapo nenda TRA kujisajiri uanze kulipa kodi.kumbuka mamlaka hizo TBS,MKEMIA n.k lazima zije site kuangalia vifaa na mazingira ya utengenezaji wa kinywaji hiko kama uko salama.Wakuu habari, natumai mko poa kabisa.
Ninaomba ushauri kwakuwa kidogo kwa sheria zetu za Tz zinachanganya sana.
Kuna bidhaa fulani ni kinywaji nataka ni ki introduce ila sio luxury ni functional drink.
Kwakuwa ndio niko kwenye starting point, vipi nianzie wapi? Maana kuna hizi mamlka
TMDA, TBSA, mara TRA kidogo vinanichanganya.
Naombeni muongozo wakuu.
TMDA now wanajihusisha na madawa tu chakula walipokonywa wakapewa TBSAnzia TMDA...natania Bhana mie sio mjuvi wa hizo mbishe.
Subiri wakulungwa.
Ukitaka kuanzisha kiwanda cha vinywaji kwanza kabisa andaa eneo,pia andaa proposal na chukua sample ya hicho kinywaji peleka TBS,MKEMIA n.k upewe kibali baada ya kupima sample yako na baada ya hapo nenda TRA kujisajiri uanze kulipa kodi.kumbuka mamlaka hizo TBS,MKEMIA n.k lazima zije site kuangalia vifaa na mazingira ya utengenezaji wa kinywaji hiko kama uko salama.
Noma sana startup nayo unalipia kodi?Ukitaka kuanzisha kiwanda cha vinywaji kwanza kabisa andaa eneo,pia andaa proposal na chukua sample ya hicho kinywaji peleka TBS,MKEMIA n.k upewe kibali baada ya kupima sample yako na baada ya hapo nenda TRA kujisajiri uanze kulipa kodi.kumbuka mamlaka hizo TBS,MKEMIA n.k lazima zije site kuangalia vifaa na mazingira ya utengenezaji wa kinywaji hiko kama uko salama.
Kama mjasiliamal wa kawaida anayeanza na proposal ni ufafanuzi wa hiyo biashala yako.yani wazo lako ambalo liko kichwani Liweke kwenye document na proposal siyo tu kuombea pesa yani mkopo hata kuomba vibali inahusika lazima wajue ABC ya hicho unachotaka kuanzisha waweke kwenye kumbukumbu zao ili siku ukizingua wajue waanzie wapiDuh TRA tena na wakati hata hatuna uhakik bidhaa kama itaingiza mapato mapema, mkuu sio kwamba mapato yakiwa chini ya milion nne kwa mwaka hulipi kodi?
Pia hapo kwenye proposal sijaelewa kwani naomba unaji
UnajiandikishaDuh TRA tena na wakati hata hatuna uhakik bidhaa kama itaingiza mapato mapema, mkuu sio kwamba mapato yakiwa chini ya milion nne kwa mwaka hulipi kodi?
Pia hapo kwenye proposal sijaelewa kwani naomba pesa?
Anh okay nimekuelewa mkuuKama mjasiliamal wa kawaida anayeanza na proposal ni ufafanuzi wa hiyo biashala yako.yani wazo lako ambalo liko kichwani Liweke kwenye document na proposal siyo tu kuombea pesa yani mkopo hata kuomba vibali inahusika lazima wajue ABC ya hicho unachotaka kuanzisha waweke kwenye kumbukumbu zao ili siku ukizingua wajue waanzie wapi
Mkuu vibali pesa lazima ikutoke. kuhusu eneo siyo lazima liwe la kwako kama ingekuwa hivyo basi kaliakoo nzima zile duka zingekuwa ni za wamilki wa flem tu.hivyo unaweza kukodi eneo kwa mda then ukiimalika unanunua eneo lako,na kuhusu vifaa mkuu sijajua unataka kuanzisha vinywaji vya aina gani.pia kuhusu matangazo mkuu inategemeana na upo maeneo gani unaweza kuamua kutumia TV,mitandao ya kijamii au radio pia kama mwanzo ni mgumu na pesa ya kulipia matangazo ni ngumu unaweza kutoa vipeperushi hata 300 ukawapa wahuni kitaa wakabandika kila mtaa na kila nguzo pia kila bar hatimae polepole utasonga mkuuAnh okay nimekuelewa mkuu
Vipi kama mjasiriamali wa mwanzo kuna process za kutoa hela ili upate vibali?
Mkuu inaonekana unajua vitu, vipi eneo lazima liwe langu au hata la kukodi wakati wa kuzalisha bidhaa
Pia mkuu mashine zinaweza kuwa bei gani za kuanzia tu au niseme kwa makadirio yako kama unafanya kitu nachowaza itanigharim karibia kiasi gani kwa kuanza tu, pia matangazo.
Kama unaanza kabisa na mtajì ni mdogo unalipia kama wajasiliamali wengine mkuuNoma sana startup nayo unalipia kodi?
Hii serikali🙌🏼,
Mkuu kwa makadirio hapo kwa kuanzia kiasi gani unaanzisha hicho kiwanda mpk hayo mausajiri? Tunaomba mwongoz
mkuu kwa 5M mtu unaweza anza kwa uzalishaji mdogo wa awali vinywaji vichache pamoja na mabibali au ndio mtaji mdogo saana😂Mkuu vibali pesa lazima ikutoke. kuhusu eneo siyo lazima liwe la kwako kama ingekuwa hivyo basi kaliakoo nzima zile duka zingekuwa ni za wamilki wa flem tu.hivyo unaweza kukodi eneo kwa mda then ukiimalika unanunua eneo lako,na kuhusu vifaa mkuu sijajua unataka kuanzisha vinywaji vya aina gani.pia kuhusu matangazo mkuu inategemeana na upo maeneo gani unaweza kuamua kutumia TV,mitandao ya kijamii au radio pia kama mwanzo ni mgumu na pesa ya kulipia matangazo ni ngumu unaweza kutoa vipeperushi hata 300 ukawapa wahuni kitaa wakabandika kila mtaa na kila nguzo pia kila bar hatimae polepole utasonga mkuu
Omba Mungu kwanza....Wakuu habari, natumai mko poa kabisa.
Ninaomba ushauri kwakuwa kidogo kwa sheria zetu za Tz zinachanganya sana.
Kuna bidhaa fulani ni kinywaji nataka ni ki introduce ila sio luxury ni functional drink.
Kwakuwa ndio niko kwenye starting point, vipi nianzie wapi? Maana kuna hizi mamlka
TMDA, TBSA, mara TRA kidogo vinanichanganya.
Naombeni muongozo wakuu.