Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,515
TATIZO LAKE NINI?Hawa ndio graduate wetu.... Kweli [HASHTAG]#BigResultNow[/HASHTAG]
TATIZO LAKE NINI?Hawa ndio graduate wetu.... Kweli [HASHTAG]#BigResultNow[/HASHTAG]
Ndo maana nataka kuachana nae kwa amani na sitaki kumuumiza tena... Nathamini utu wake ndo maana nimekuja kuomba ushauri hapa ili nisimuumizeJambo usilopenda kufanyiwa wewe, basi usimfanyie mwenzio, hakika utalipwa....hapa apa duniani"
Ndo maana nimekuja kuomba ushauri hapa ili ili hiyo karma isiendelee kunitafuna.. Hata hivo binti nime mrudisha school na mwaka huu atafanya mtihani tena chini ya usimamizi wangu japo bado sina ajira..Na hiyo karma itakutafuna milele mpaka watoto wako.
ndio ivoUkweli siku zote ni mchungu