Nilianza nae mahusiano mwaka 2013 mwez wa pili na tukaachana mwaka huohuo mwezi wa kumi.. Alaf hakuwa mtoto maana tunalingana ki umri ila yeye alifeli ndo maana mimi nikawa kama mwalimu wakeUnahitaji kumrudia Mungu wewe, inashangaza walimu wa kuwaonyesha maaadili watoto wetu ndo wamekuwa MAFISI wakubwa wa kuptosha na kuwaharibu watoto wetu. Mungu akusamehe na uokoke ndugu
Kila mtu kwa nafs yke n mbinafs mkuu! So, n bora kuisha ka mbwa ukafa kibinadamu kulko kuish kibinadamu ukafa ka mbwa!!Jambo usilopenda kufanyiwa wewe, basi usimfanyie mwenzio, hakika utalipwa....hapa apa duniani"
Kusuka au Kunyoa...mkuu na wew ni mwandishi wa miziki yetu ileee.....
[emoji15] usifanye kitu ambacho wewe hupendi kutendewa, umefanya dhambi ya kwanza mpaka umeharibu future yake, then unasema eti ziwezi kumuoa kisa kazalishwa[emoji15] hiyo dhambi bado inakutafuna na itaendelea, kama wewe ungekuwa na mtoto then ukampata mwanamke ambaye unataka kumuoa lkn akwambia kuwa siwezi kuolewa na wewe kisa una mtoto[emoji14] so usitumie mtoto kama ndio fimbo ya kumpigiaSio hivo mkuu mi nataka niachane nae kwa sababu tayari kaishazalishwa na mtu mwingine na mimi najiona sipo tayari kuishi na mtu aliezaaa tayari
Una maana gani mkuu??
Alinitamanisha yeye mwenyewe sasa mimi ningefanya nini? Mkuu hata kama ungelikuwa wewe lazima ungekamatika tuACHA KUKANDIA MWENZAKO, MBONA WEWE ULITEMBEA NA MAMA YAKO MDOGO, MDOGO WA MAMA YAKO, HUONI WEWE NDIO MPUUZI KABISA!