Je..!!ni Wewe...??chagua namba...

Magwero

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
243
75
01/ Unaetaka Mpenzi wako awe wako Peke Yako wakati wewe ni wa wengi...

02/ Unaetaka kujua kila kitu kuhusu Mpnz wako wakati wew unamficha ya kwako...

Kweli ni wewe...??et

03/ Unapenda kupokea Zawadi kutoka kwake kuliko unavyompa..

04/ Unaeadithia washikaji/mashost hata mikao mliokuwa mmewekana mlipokuwa wawili...

05/ Unaesema madhaifu ya mpenzi wako hadharani,uku ukitaka yeye akuifadhi...

06/ Unapenda akusikilize kwa kila kitu , ilhali wew hukuwai msikiza hata kwa neno moja..

Embu niambie wewe uko wapi...
Au wew ndo unasema...

07/ Huyu ndo ninaempenda kwa Dhati na yule mwingine nazingua tu..na hautaki mwenzako awenaye wa kuzingua..

08/ Wew ndo Ulimwaidi mpnz wako Kumpenda peke yake wakati kabla ya kukutana nae Unaweka bariers/vizuizi kwenye simu yako...

09/ Unataka Kuoa msichana Bikra wakati kila uliyefanya nae mahusiano,hazikupita wiki mbili kabla ya kutaka kumvua chupi...

10/ Ntafanya ngono mara nying niwezavyo kabla ya kuoa na nikioa tu ntatulia na mke wangu...

11/ Wewe ni Mwanafunz, unataka Boy/Grl friend wako akupe hela ya shoppin as if yeye ndo amekupeleka chuo...(na yey ni mwanafunzi)...akisema hana,unatishia penz lenu...

Labda hauko hapa...
Au wewe...

12/ Unapenda kushare wakati wa furaha tu na mpnz wako na si vinginevyo...

13/ Unapenda Akupende kama Unavyompenda... Akujali na Kukulinda wakati wote (mnapokuwa pamoja na mnapokuwa mbali kwa mbali....)

14/ Akuthamini na Kukuheshimu kama unavyomheshimu...

15/ Anajivunia kuwa na wew popote na kwa yoyote kama wew unavyofanya...

Embu niambie wewe uko wapi...
Tabia ipi kati ya hzi hapa hauipendi,ipi unaipenda zaidi..

Ipi tabia uliyonayo na wew ni shuhuda kuwa usingependa iwe yako...
Ipi mpnz wako anayo na nin umefanya kumsaidia..!?

Karibu...
 
Mpenzi wangu hana mapungufu, ananipenda na nina zaidi ya miaka 15 sasa niko naye!
Ila mi sometimes ..... siri yangu!
 
Mtoa mada, unaonaje ungeanza kwa kutuwekea wazi kwamba wewe uko katika kundi lipi ili nasi tuhamasike kuwa wawazi?
 
Mpenzi wangu hana mapungufu, ananipenda na nina zaidi ya miaka 15 sasa niko naye!
Ila mi sometimes ..... siri yangu!

.
Yaani huyu! ... ndio wale wale!
Yeye ana-qualify kuanzia namba 1-11
Kabisa!

.
 
Mtoa mada, unaonaje ungeanza kwa kutuwekea wazi kwamba wewe uko katika kundi lipi ili nasi tuhamasike kuwa wawazi?

13,14 na 15...
Ndiyo natamani kuwa hapo mara zote...
Mambo ni magumu wakati flani lakini kila atakae jitahidi na kumaanisha kuishi mapenzi ya kweli...
Basi 2siogope kusema na 2taweza kusaidiana...!!
 
Back
Top Bottom