Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Mwanamke hapendi mtoto sababu kubwa

Anataka aendelee kuwa mbichi hivyo hivyo na chuchu zisilalee au mwili kuchoka

Anakwepa majukumu ya kulea na kuonekana mama.

Ni malayaa aliekubuuu so akipata mtoto atashindwa kufanya kazi zake kwa uhuruuu.

Hana mtu anaeleweka wa kujenga nae familiaa.

Zaidi ya hayo hauna sababu ya kutamani kutokuwa na mtoto
 
Kwahiyo wewe una akili kumshinda sir isaq Newton . Friedrich Nietzsche Nicola tesla . !!?? Maana hao wote hawajawahi kuwa na watoto tena kama huyo Nietzsche aliwahi kusema kwamba watoto ni mizigo ya kujitakia

But ukweli ni kwamba kwa mujibu wako asiyetaka kuwa na mtoto wakati hana tatizo la kiafya huyo atakuwa hana akili na watu hao niliowataja hapo juu wote wana tambulika kuwa walikuwa magenius wakubwa walioweza kuleta michango iliyoweza kuibadilisha dunia na walimwengu wote tumenufaika na tuna endelea kunufaika kupitia michango yao ""

Swali langu kwako je ? Hao hawana akili !!? Maana wote hao hawajawahi kuwa na watoto na je kwakuwa wewe una mtoto au watoto Bila shaka utakuwa na akili nyingi kuliko hao magenius niliowataja ??
 
Mwambie huyo
 
Eisten alikuwa anadreams kubwa sana na mishe nyingi mpaka akasahau kuishi maisha mengine nje ya Elimu na Ufumbuzi so kawaida tu.
 
Fact ... Wengi wanazaa kwa sababu ya kuepuka pressure ya jamii.. Wanaogopa kupachikwa majina kuwa ni wagumba

Mimi mwenyewe binafsi sipendi kuwa na watoto na kama nitakuwa nao basi awe mmoja tu "
 
Hahaaa ukweli mchungu huu
 
Fact
 
Aise mimi ndiyo maana nasema maishani mwangu sitakaa kuishi vile jamii inataka nitaishi vile mimi ninataka. Jamii za kiafrika ukizifuatisha utakuwa mtumwa.
Saaana
 
Kwa kweli hakuna kila mtu anatamani copy yake mtoto raha bhana acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…