Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Huo umri wa 30+ nishauvuka mzee. Nani anataka alete mtoto duniani hata kasweta ka sh 10000 huwezi kumnunulia
Hahaaa halafu sasa wasichojua ni kwamba jamii ya waafrica ina watoto wengi wanaopitia dhiki mpaka watoto hao huwa wanalaani wazazi wao kwanini waliwazaa . ..

Kuzaa zaa tu wakati hauna uwezo wa kukisimamia kizazi chako ili kiweze kupata mahitaji stahiki. . ni Uchizi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au anadhani mtume wa baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wanachagua mitume na manabii wa kuwafuata. Wakiona huyu alikuwa mtakatifu sana wanamzushia uongo ila wakiona huyu alikuwa malaya malaya wanasema yes huyu ndiyo mfano wa kuigwa na huwa wanaiga yale mabaya tu.

Ukitaka kuthibitisha hilo jiulize hao hao wanaume wanaomtolea mfano Suleiman kuwa na wanawake wengi je wana imani, busara, hekima na utajiri kama alivyokuwa Suleiman! Halafu ndiyo utaona jinsi gani dunia ya sasa tumebaki na magalasa yanayojiita vichwa vya familia!
 
Nafikiri mwanamke wa namna hii Ni Sawa asizae at least anajitambua. Wengine Wana tabia na maono Haya na bado wanazaa matokeo yake Ni mateso Kwa mtoto.
 
Noted
 
Kama jamaa ana pesa ni bora angemwambia mdogo wake atoe mbegu wakapandikize kwa mkewe ili wamantain DNA.
 
Imagine
 
Tatizo mnalazimisha watu wafanane.... dunia pana na mawazo mapana.
Hatulazimishi tufanane hii ni asili kama ilivyo njaa.

Ndiyo maana tunasema hivi hao wanao kataa wana matatizo na wanajua waliyo yaficha ila mwanamke mzima mwenye akili timamu hawezi kukataa mtoto. Sasa endelea kubishana na asili.
 
Linapokuja swala la sheria za Mungu hakuna excuse ya Nabii au mtu wa kawaida.

Wewe upewe mbegu, upewe uwezo wa kuzaa, upewe na muda bado usizae wewe huna maana.

Hata mti usiozaa matunda unapaswa kukatwa. Hauna maana
Hiyo paragraph ya mwisho inenifanya nikuone dishi limeyumba

Kwa hiyo unavyojua wewe thamani ya mti ni kuwa na matunda tu pekee

Haujui kuwa miti kwa watu wengine hutumia kama dawa . kivuli .kuni .Ndege kuishi na kutunza mazingira achilia mbali kuzalisha hewa ya oksijen . na kuwa kivutio cha utalii
.daahh wewe jamaa kweli bure
Huko shuleni sijui ulifuata nini ?
 
ningekua nauwezo ningepitisha sheria ukihitaji kuzaa lazma umuandalie mtoto walau 20M ili watu wawe sirias kidogo

nasio kutesa kiumbe kisichokua na hatia sababu tu unaweza panua mapaja
eti nina mtoto na humpi mahitaji stahiki shenz kabsa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo sio kwamba hatupendi watoto,tatizo kuna zile mimba zinakuja kama chafya halafu hujajipanga!!

Dah mziki unaanzia hapa
Mie kinachonishangaza hapa kwenye hii thread ni wakaka kushangaa wadada wasiopenda watoto..ilhali wao wanakana mimba zao kila siku, mngekua wanaume mnapenda watoto kama mnavyojitabainisha humu...single mothers wasingekuwepo..
 
ningekua nauwezo ningepitisha sheria ukihitaji kuzaa lazma umuandalie mtoto walau 20M ili watu wawe sirias kidogo

nasio kutesa kiumbe kisichokua na hatia sababu tu unaweza panua mapaja
eti nina mtoto na humpi mahitaji stahiki shenz kabsa
Hahaaa inakera sana mkuu " kuna mijitu inaona fahari kuwa na watoto halafu at the same time watoto hao wana saidiwa kulelewa na wazazi wao ..wazazi ambao ukiwachunguza tayari wamesha jichokea na maisha yamewapiga badala ya kuwapumzisha ili uzee wao uwe na nafuu ya changamoto ndio kwanza wana waongezea mizigo
 
Mkuu, una mawazo kama yangu maana kuleta mtoto aje kuteseka duniani mimi napinga kabisa. Japo watu wananiona kama nakosea,mimi sisapoti mtu azae wakati hana uwezo wa kulea
 
Atakuwa alienda kukuwa tu huyo
 
true

nawengine watoto wao tunalea sisi wapita njia
sasa unajiuliza huyu mtu kuna mahusiano gani ya faida kati yake na mtoto .
na angepungukiwa nini asingemzaa ?
 
Ndio unagundua leo[emoji16][emoji16][emoji16] huyu mdogo wangu dishi limeyumba siku nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…