Je, ni wajibu au ni hiari kumhudumia mtoto wa nje ya ndoa?

unachekesha kweli wewe starehe ufanye wewe halafu ukimbie majukumu, mhudumie huyo ni Mtoto wako haijalishi haukuwa tayari kwa hilo mfanye Mtoto ajisikie kuwa ana Baba.
Starehe yetu iliishia kwenye kulipana,haya mengine aliamua yeye
 
Masuala ya kuzaa tunayachukulia poa sana.

Ikumbukwe ni binaadamu tunamleta duniani hivyo na pamoja na uzembe wetu huyo kiumbe hakuchagua kuletwa duniani.

Hivyo basi tunatakiwa kuhakikisha huyo mtoto hapa duniani anapata haki zake za msingi bila malumbano.

It's the least the two dumb ----- can do anyway.
 
Masuala ya kuzaa tunayachukulia poa sana.

Ikumbukwe ni binaadamu tunamleta duniani hivyo na pamoja na uzembe wetu huyo kiumbe hakuchagua kuletwa duniani.

Hivyo basi tunatakiwa tuhakikisha uwepo hapa duniani unapata haki zake za msingi bila malumbano.

It's the least the two dumb fucks can do anyway.
Ndo maana nishasikia wazungu wanasema 20 years ago two people decided to have unprotected sex...now they want me to feed myself....

Daaaaah...it's your fault am in this world...feed me, cloth me educate me... Give me good shelter... You wanted a kid did I ask to be born ?
 
Mlikuwa katika mahusiano na hamkuwahi kukubaliana kuzaa mtoto, bahati mbaya au mzuri mkatiana mimba mtoto akazaliwa,

Je, huyo mama wa mtoto ana haki yoyote ya kumchukulia hatua baba wa mtoto endapo hatakuwa anatoa huduma kwa mwanaye?

Kumbuka, hawakuwa na makubaliano ya kuzaa, mama mtoto alikuwa anamchuna jamaa na jamaa alikuwa anamtumia mama mtoto kama kipezeo.
Kama unazo njuruku we hudumia tu,mambo ya kulialia,ni kama huna kitu

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Minadhani masingle mother wote ambao Hawa mijusi kafiri hawataki kuhudumia watoto.... Waende kumuona
Kipepeo wa chuma1 Wana Jambo lao la Ulozi...huko KATAVI
 
Hapa suala sio gharama ndogo au kubwa, Mimi nayeye tulishamalizana alinichuna akaambulia mimba,huyo mtoto ananihusu vipi?hata yeye angenipa kisonono ningehangaika nacho mwenyewe bila kuomba msaada wowote kwake
Mhudumie mtoto hilo halina kukwepa,sheria ikiingilia utamuhudumia kwa lazima japo sio gharama ila utahudumia tu.

Usiwe na kinyongo nae yawezekana unamchukia sana na hutaki hata kumsikia mama wa mtoto,usijali ktk hilo Muangalie yule mtoto na ufahamu

ni mwanao tu na hata usipomuhudumia akiwa mkubwa atakutafuta tu maana ataambiwa baba ako ndandambuli yule paleee

so usisubiri muda ufike mtoto aje akuulize maswali magumu ushindwe mjibu uanze kumtishia kumlaani,Be responsible father plz

achana na msahau huyo mwanamke,mfikirie mtoto wako,Akili yako yote mfikirie yeye hata kama n kwa % ndogo sana ila usimsahau mtoto wako,ni damu yako na ni utambulisho wako hapa duniani.
 
Mhudumie mtoto hilo halina kukwepa,sheria ikiingilia utamuhudumia kwa lazima japo sio gharama ila utahudumia tu.

Usiwe na kinyongo nae yawezekana unamchukia sana na hutaki hata kumsikia,usijali ktk hilo Muangalie yule mtoto na ufahamu

ni mwanao tu na hata usipomuhudumia akiwa mkubwa atakutafuta tu maana ataambiwa baba ako ndandambuli yule paleee

so usisubiri muda ufike mtoto aje akuulize maswali magumu ushindwe mjibu uanze kumtishia kumlaani,Be responsible father plz

achana na msahau huyo mwanamke,mfikirie mtoto wako,Akili yako yote mfikirie yeye hata kama n kwa % ndogo sana ila usimsahau mtoto wako,ni damu yako na ni utambulisho wako hapa duniani.
Nimekuelewa sana mkuu,je inawezekana baba ambaye hajakuelea kabisa mpaka unafikia umri wa kujitegemea akakupa laana?
 
Nimekuelewa sana mkuu,je inawezekana baba ambaye hajakuelea kabisa mpaka unafikia umri wa kujitegemea akakupa laana?
Achilia mbali ambae hajakulea,hata aliekulea tangu uko kwenye mawazo yake,ukaingia tumboni,ukazaliwa akakulea mpk unajitegema hamna kitu inaitwa Laana chini ya JUA,ukiona amekutamkia et ulaaniwe na hutofanikiwa milele na kweli hujafanikiwa ujue ni Uzembe wako tu kwenye maisha yako wala sio yale maneno (laana) aliyokutamkia baba/mama.
 
Back
Top Bottom