Je, ni wajibu au ni hiari kumhudumia mtoto wa nje ya ndoa?

Mlikuwa katika mahusiano na hamkuwahi kukubaliana kuzaa mtoto, bahati mbaya au mzuri mkatiana mimba mtoto akazaliwa,

Je, huyo mama wa mtoto ana haki yoyote ya kumchukulia hatua baba wa mtoto endapo hatakuwa anatoa huduma kwa mwanaye?

Kumbuka, hawakuwa na makubaliano ya kuzaa, mama mtoto alikuwa anamchuna jamaa na jamaa alikuwa anamtumia mama mtoto kama kipezeo.

Maswali mengine bwana yanasikitisha ,mambo kama haya ndio yanakuja kutuletea kina NYANGE.
 
Ndo maana nishasikia wazungu wanasema 20 years ago two people decided to have unprotected sex...now they want me to feed myself....

Daaaaah...it's your fault am in this world...feed me, cloth me educate me... Give me good shelter... You wanted a kid did I ask to be born ?
Wangazija nao wanasema "Ukitiwa mimba pasipo kuolewa umeamua kuwa kuku,vifaranga vyako havimhusu jogoo
 
Achilia mbali ambae hajakulea,hata aliekulea tangu uko kwenye mawazo yake,ukaingia tumboni,ukazaliwa akakulea mpk unajitegema hamna kitu inaitwa Laana chini ya JUA,ukiona amekutamkia et ulaaniwe na hutofanikiwa milele na kweli hujafanikiwa ujue ni Uzembe wako tu kwenye maisha yako wala sio yale maneno (laana) aliyokutamkia baba/mama.
Aaaaah! taratibu mkuu,wazazi wako ndio Mungu wa pili duniani
 
KWELI...Zinaaa haijawai muacha mwanamke salama...
Ndo maana Mimi nimemua kuwa sista TU sasa
Peleka ujinga wako huko
Tangu lini Muslim akawa sister??
Yaan ushaliwa kimasihara ndiyo unataka usister never
Unajua sifa za kuwa sister??
 
Peleka ujinga wako huko
Tangu lini Muslim akawa sister??
Yaan ushaliwa kimasihara ndiyo unataka usister never
Unajua sifa za kuwa sister??
Naona UMEPAGAWA..... Chukua maji unywe...

Kama umejua Mimi Ni Muisilamu ulitakiwa kujua Hilo la usista lilikua Utani. ...

Siku nyingine hasira zako za kukopa mshahara peleka kwa sista huko parokiani Akakupe Dog style
 
Makubaliano ni pale ulipofanya mapenzi bila kinga na asubuhi asitumie dawa ya kuzuia ujauzito.
 
Tuanize hapa mtoto wa nje ya ndoa ana alama gani inayomtofautisha na wa ndani ya ndoa ukipata jibu nijulishe
 
Mimi hata nizae na wanawake mia sina mtoto wa nje, watoto wangu wote nitawatreat sawa so long as ni damu yangu
 
Makubaliano ni pale ulipofanya mapenzi bila kinga na asubuhi asitumie dawa ya kuzuia ujauzito.
Makubaliano yalikuwa kutoa ganzi na kumpa pesa,hayo ya kujikinga haikuwa kazi yangu,ndio maana hata angeniambukiza ukimwi asingewajibika kwa lolote
 
Tuanize hapa mtoto wa nje ya ndoa ana alama gani inayomtofautisha na wa ndani ya ndoa ukipata jibu nijulishe
Wa nje ya ndoa hakuwa katika makubaliano ya kuzaa katokea kwa bahati mbaya kwasababu ya uzembe wa mama yake
 
jamaa umeamua kufurahisha sana

huyo ni mwanao na ni lazima umuhudumie haijalishi ulikuwa tayari ama hapana kitendo cha kutotumia kinga ni kigezo tosha cha kuwajibika na matokeo yoyote ya hilo tendo iwe mtoto ama magonjwa.

we unasema huwezi leo mtoto na ulipiga mtanange peku na ukamwagia wazungu huko ulaya jamaa alitumia kondom baada ya kumaliza mwanamke kachukua shahawa kwenye ndom kajimwagia dadeq na kapata mimba

mahakama ikaamuru jamaa ahudumie mtoto maana ni wake (baada ya vipimo vya d.n.a)

wewe umeloweka kabisa unaleta stori za kitoto eti nilimlipa tukamalizana pesa ulimpa ya tendo na sio kufidia matokeo ya tendo

kisheria huchomoki unatakiwa wajibika tu sio izo blah blah zako eti nililipa
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom