je ni upendo au limbwata

je ni upendo au limbwata

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
je huu ni upendo au limbwata?
 

Attachments

  • upendo.jpg
    upendo.jpg
    26.2 KB · Views: 199
"damned if you do, damned if you don't"
 
Atakuwa bado "anamfukuzia" huyo demu, "akishamchapa" tu hayo yote yanakuwa historia!
 
Makubaliano tuu, Nae zamu yake itakuja kitandani.
 
ni makubaliano tu kwamba lala nipite juu yako,sio upendo wala limbwata

Big up. Watu wengine bwana, kuna kitu gani cha ajabu hapo amefanya mpaka uhisi amepewa limbwata. Watanzia hatujui mapenzi. Nendeni Congo muone ginsi malovee yanakuwa.
 
hapa ndio tunaona umuhimu wa kulingana au kukaribiana kimaumbile
chukulia kama demu angekuwa mzito letsay 98kg ingekuaje jamaa siange bomoka kama madaraja yanavyo bomoka
 
Mshkaj yuko ofisin, dem akishapita ye anachukua chake anasikilizia mjingamjinga mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom