AKAN
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 1,135
- 1,147
Mke si kijakazi mambo cku izi ni kusaidiana
Mke si kijakazi mambo cku izi ni kusaidiana
but every thing has a limit.....Mke si kijakazi mambo cku izi ni kusaidiana
Mkuu yaani hizo ni baadhi tu ya kazi ambazo mimi huwa nafanya nyumbani kwa mama watoto wangu...Mwanaume kufanya kazi za nyumbani kama kupika,kuosha vyombo na kudeki....ni ujanja au uboya