Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,268
- 4,973
Mabadiliko yaanza kwa nani ili iwe/awe mfano kwa wengine?Si sawa.lakini bado kuna namna ya kumwambia sio kutukana
Mabadiliko yaanza kwa nani ili iwe/awe mfano kwa wengine?Si sawa.lakini bado kuna namna ya kumwambia sio kutukana
Rais Magufuli si Kichaa kwa maana ya ugonjwa.Tuwe waangalifu sana na hayo maneno.Kama kiongozi hajieshimu kwanini nimuheshimu?
Kama kiongozi anajiita kichaa kwann nimuheshimu?
Ivi mtu akikwambia yeye ni KICHAA unaelewaje?Rais Magufuli si Kichaa kwa maana ya ugonjwa.Tuwe waangalifu sana na hayo maneno.
Kama hataki kutukanwa kwann yeye anatutukana? Kwann aliwaita vijana wa udom vilaza?Si sawa.lakini bado kuna namna ya kumwambia sio kutukana
Kwa hiyo akiongea namna hiyo ndio tiketi ya mimi na wewe kumtukana yeye binafsi?. Ameongelea nyiee hakusema wewe au yule.we naweee.. ndo kujipendekeza auuuu.. unajifanya ZOMBI
ila yeye anapowambia nyie kuwa KATeRERO NYIE... KISONONO NYIEE.... MAAFA NYIE... UKIMWI NYIEEE.... dhihaka hii unaiona ni sawa au tukubali tu kuwa jamaa ni kichaa mgonjwa fresh ??
Inategemea na mazingira ya mtu kusema hivyo. Anamaanisha wakati mwingine kushughulika na watanzania unahitaji kuwa roho ngumu ya kufanya maamuzi pasipo kumtazama mtu usoni.Ivi mtu akikwambia yeye ni KICHAA unaelewaje?
NB: Tumia akili kabla hujanijibu.
peleka kisonono chako kwake... nakutania tu dadanguweeeeKwa hiyo akiongea namna hiyo ndio tiketi ya mimi na wewe kumtukana yeye binafsi?. Ameongelea nyiee hakusema wewe au yule.
hayo mazingira basi ndo hayohyo tumeyatumia kujibu msikasirike tuInategemea na mazingira ya mtu kusema hivyo. Anamaanisha wakati mwingine kushughulika na watanzania unahitaji kuwa roho ngumu ya kufanya maamuzi pasipo kumtazama mtu usoni.
Unafanya maamuzi bila ya kusikiliza maoni au mawazo ya kundi la watu, kwa faida ya wengi kuliko hao wachache ambao lazima watakukosoa.
Mkuu MWALLA, shika adabu yako...malabuukpeleka kisonono chako kwake... nakutania tu dadanguweeee
HIVI MTIWA MAFUTA WA BWANA ANARUHUSIWA KUJITUKUNA NA KUJINENEA MABAYA KWA KUJIITA KICHAAtuepuke matusi.N
atoa taadhari kwa wote,ni muhimu kuzingatia.kwa kuwa Mh Rais ni mtiwa mafuta kwa Bwana ni kosa na dhambi kwa Mungu kumnenea mabaya,kumtukana hata kumtweza,yeyote anayefanya hayo atakutana na mkono wa Mungu aliyemweka pale. Awe ni mdhaifu au awe na tatizo lolote hatupaswai kumnenea mabaya wala kumnyoshea kidole.unapofanya hivyo actually unamfanyia Mungu aliyeruhusu awepo hapo.
Kwanza Mungu hakupiga kura tusidanganyaneKatika jamii yeyote ya watu wanaoheshimu utu na kustarabika.Jamii ya watu wanaopenda watoto wao wawe watu wa heshimu,ni lazima kujenga desturi ya kuheshimiana.kuna tabia inaanza kujengeka ya baadhi yetu kudhani kuwa unapomtukana kiongozi unapata sifa,lakini swali la kujiuliza ikiwa ungekuwa wewe ndio unafanyiwa hivyo ungefurahi.
Nchi zetu hizi zinaongozwa na wanadamu ambao si wakamilifu,kama tutaamua tu kuangalia mabaya ya viongozi wetu tutayaona lakini je hakuna mazuri yanayoweza kutufanya tuone umuhimu wa kuwaheshimu.maandiko matakatifu yanatuonya kuwaheshimu viongozi wetu kwa sababu wamewekwa na Mungu kwa makusudi yake mwenyewe.
Magufuli alipokwenda kuchukua form ya kuomba kugombea Urais wengi wetu tulimchukulia tu kama msindikizaji LAKINI MUNGU alimchagua ndio awe kiongozi wetu.
Ombi langu kwenu wote tunapaswa kumheshimu na kumsaidia ili atuongoze mpaka muda wake utakapokwisha.Kumbukeni anaweza akawa amekosea kwa mtizamo wako lakini kwa maslahi mapana ya nchi anapaswa kuungwa mkono.
Magufuli anajenga Reli ambayo itakuwepo kwa miaka mingi ijayo,si kwa manufaa yake bali kwa manufaa ya nchi,Magufuli anajenga miundombinu mikubwa ya kuzalisha umeme ambayo itakuwepo miaka mingi hata baada ya yeye kuondoka lakini kwa ajili ya nchi.Pale ambapo tunahisi Mh amekosea ni vyema kutumia lugha ya staha na heshima.tuepuke matusi.N
atoa taadhari kwa wote,ni muhimu kuzingatia.kwa kuwa Mh Rais ni mtiwa mafuta kwa Bwana ni kosa na dhambi kwa Mungu kumnenea mabaya,kumtukana hata kumtweza,yeyote anayefanya hayo atakutana na mkono wa Mungu aliyemweka pale. Awe ni mdhaifu au awe na tatizo lolote hatupaswai kumnenea mabaya wala kumnyoshea kidole.unapofanya hivyo actually unamfanyia Mungu aliyeruhusu awepo hapo.
Adhabu yake huwa mbaya inakwenda mpaka kizazi cha nne.ONYO JIEPUSHENI NA DHAMBI HIYO YA KUMNENEA MABAYA MPAKWA MAFUTA WA BWANA.
umemaliza kunyonyaaa?Mkuu MWALLA, shika adabu yako...malabuuk
Je mzazi akimdhihaki mtoto nn kifanyike?Kudhihaki mtu yoyote ni kumdharau hata mtoto akidhihaki mzazi ujue anamapungufu na hana adabu hivyo anastahili kufunzwa na kushikishwa adabu kwa adhabu..
Aanze yeye kuheshimu watu eboooMimi sina tatizo na maneno yako kwangu.mimi ni ndg yako sote watanzania ila ninachosema tumpee heshima rais
Kwa busara tu amkalie kimya au kumuondokeaJe mzazi akimdhihaki mtoto nn kifanyike?
Tatizo hawa wenzetu wanamtetea sana mtu kama ameamua kuifundisha jamii inabidi awe refa yaani azungumzie pande zote mbili lakin yy ameshaonesha kama mkubwa huwa hakosei bado anahitaji tumuelewewe naweee.. ndo kujipendekeza auuuu.. unajifanya ZOMBI
ila yeye anapowambia nyie kuwa KATeRERO NYIE... KISONONO NYIEE.... MAAFA NYIE... UKIMWI NYIEEE.... dhihaka hii unaiona ni sawa au tukubali tu kuwa jamaa ni kichaa mgonjwa fresh ??
Ulisikia wapi baba anachaguliwa kwa kura?Sina sababu ya kujipendekeza na wala hakuna haja ila nimetoa taadhari.hivi kule kwenu baba akisema neno ambalo unahisi amekosea unafanyaje. Unamtukana au unatafuta namna bora ya kumweleza
Na kuna aina ya viongozi wakuelezwa kwa ustahaKuna namna bora na yenye staha ya kumweleza kiongozi.sio matusi na kejeli.
Ulichotakiwa nikuzungumzia pande zote mbili sio kusema huyo baba hajakosea na baba ni mtu mzima na yupo na mtoto hii kesi ni tofauti kwenye siasa wote ni watu wazima tofauti vyeo tu so mfano wako hauendani nq uhalisia huoSina sababu ya kujipendekeza na wala hakuna haja ila nimetoa taadhari.hivi kule kwenu baba akisema neno ambalo unahisi amekosea unafanyaje. Unamtukana au unatafuta namna bora ya kumweleza