Je, ni salama kwa kiongozi mkuu wa nchi kufanyiwa dhihaka?

Kwa akili yako unafikir yeye hawadharau waliochini hasa wapinzani? Je umesahau nyerere aliitwa MCHONGA MENO? MBONA HESHIMA YAKE IPO TU.
 
Katika jamii yeyote ya watu wanaoheshimu utu na kustarabika.Jamii ya watu wanaopenda watoto wao wawe watu wa heshimu,ni lazima kujenga desturi ya kuheshimiana.kuna tabia inaanza kujengeka ya baadhi yetu kudhani kuwa unapomtukana kiongozi unapata sifa,lakini swali la kujiuliza ikiwa ungekuwa wewe ndio unafanyiwa hivyo ungefurahi.

Nchi zetu hizi zinaongozwa na wanadamu ambao si wakamilifu,kama tutaamua tu kuangalia mabaya ya viongozi wetu tutayaona lakini je hakuna mazuri yanayoweza kutufanya tuone umuhimu wa kuwaheshimu.maandiko matakatifu yanatuonya kuwaheshimu viongozi wetu kwa sababu wamewekwa na Mungu kwa makusudi yake mwenyewe.

Magufuli alipokwenda kuchukua form ya kuomba kugombea Urais wengi wetu tulimchukulia tu kama msindikizaji LAKINI MUNGU alimchagua ndio awe kiongozi wetu.

Ombi langu kwenu wote tunapaswa kumheshimu na kumsaidia ili atuongoze mpaka muda wake utakapokwisha.Kumbukeni anaweza akawa amekosea kwa mtizamo wako lakini kwa maslahi mapana ya nchi anapaswa kuungwa mkono.

Magufuli anajenga Reli ambayo itakuwepo kwa miaka mingi ijayo,si kwa manufaa yake bali kwa manufaa ya nchi,Magufuli anajenga miundombinu mikubwa ya kuzalisha umeme ambayo itakuwepo miaka mingi hata baada ya yeye kuondoka lakini kwa ajili ya nchi.Pale ambapo tunahisi Mh amekosea ni vyema kutumia lugha ya staha na heshima.tuepuke matusi.N

atoa taadhari kwa wote,ni muhimu kuzingatia.kwa kuwa Mh Rais ni mtiwa mafuta kwa Bwana ni kosa na dhambi kwa Mungu kumnenea mabaya,kumtukana hata kumtweza,yeyote anayefanya hayo atakutana na mkono wa Mungu aliyemweka pale. Awe ni mdhaifu au awe na tatizo lolote hatupaswai kumnenea mabaya wala kumnyoshea kidole.unapofanya hivyo actually unamfanyia Mungu aliyeruhusu awepo hapo.

Adhabu yake huwa mbaya inakwenda mpaka kizazi cha nne.ONYO JIEPUSHENI NA DHAMBI HIYO YA KUMNENEA MABAYA MPAKWA MAFUTA WA BWANA.
Kwakua yeye ni Rais wetu, anapotukanwa yeye ni dhihaka kwa Watanzania wote.
 
Well said!
With Almighty One speed walahi!
Ambarikie JPM naye atabarikiwa, amlaanie JPM, huyo mtu atalaaniwa mpaka kizazi cha nne, na JPM bado atabarikiwa milele yote walahi!
Long may he reign JPM walahi
vichaa mko wengi kumbe
 
"Je, ni salama?
Unataka tuseme sio salama, sio? Na ikiwa hivyo, sina shaka unataka hao wanaofanya dhihaka wafanyweje. "Rais kitu gani"? weka jela miezi sita. SAWA? Huku ndiko mawazo yenu yote yalikoelekea. Mna matatizo makubwa.
 
Toeni unafiki hapa, dunia inabadilika na nchi inabadilika pia, wengi tumesoma shule sasa, sio kila mtu ameumbwa kusifia sifia tu watu. Ukiwa mwanasiasa na kiongozi pia kuwa tayari kwa dhihaka na ukosoaji, inabidi uwe na ngozi ngumu (thick skin) kweli. Trump, Merkel, Theresa May na wengine kila siku wanakosolewa na kudhihakiwa kwa namna mbalimbali from satirical and sarcastic cartoons to news articles and Op-ed. Kama hutaki kukosolewa wala dhihaka then isiwe shida usigombee uongozi wa umma! Kaa nyumbani kwako na mke wako mlee familia, hii sio nchi yako peke yako. Ni ujinga huu ambao mwisho wa siku watu wanauawa na kulemazwa na risasi 38 kwa sababu ya ushamba tu na ukatili.
 
Jiwe hajiheshimu, na imeandikwa mheshimu anayejiheshimu. Huyu atukanwe tu. Tena akitokea wa kumuua itapendeza zaidi.
 
Katika jamii yeyote ya watu wanaoheshimu utu na kustarabika.Jamii ya watu wanaopenda watoto wao wawe watu wa heshimu,ni lazima kujenga desturi ya kuheshimiana.kuna tabia inaanza kujengeka ya baadhi yetu kudhani kuwa unapomtukana kiongozi unapata sifa,lakini swali la kujiuliza ikiwa ungekuwa wewe ndio unafanyiwa hivyo ungefurahi.

Nchi zetu hizi zinaongozwa na wanadamu ambao si wakamilifu,kama tutaamua tu kuangalia mabaya ya viongozi wetu tutayaona lakini je hakuna mazuri yanayoweza kutufanya tuone umuhimu wa kuwaheshimu.maandiko matakatifu yanatuonya kuwaheshimu viongozi wetu kwa sababu wamewekwa na Mungu kwa makusudi yake mwenyewe.

Magufuli alipokwenda kuchukua form ya kuomba kugombea Urais wengi wetu tulimchukulia tu kama msindikizaji LAKINI MUNGU alimchagua ndio awe kiongozi wetu.

Ombi langu kwenu wote tunapaswa kumheshimu na kumsaidia ili atuongoze mpaka muda wake utakapokwisha.Kumbukeni anaweza akawa amekosea kwa mtizamo wako lakini kwa maslahi mapana ya nchi anapaswa kuungwa mkono.

Magufuli anajenga Reli ambayo itakuwepo kwa miaka mingi ijayo,si kwa manufaa yake bali kwa manufaa ya nchi,Magufuli anajenga miundombinu mikubwa ya kuzalisha umeme ambayo itakuwepo miaka mingi hata baada ya yeye kuondoka lakini kwa ajili ya nchi.Pale ambapo tunahisi Mh amekosea ni vyema kutumia lugha ya staha na heshima.tuepuke matusi.N

atoa taadhari kwa wote,ni muhimu kuzingatia.kwa kuwa Mh Rais ni mtiwa mafuta kwa Bwana ni kosa na dhambi kwa Mungu kumnenea mabaya,kumtukana hata kumtweza,yeyote anayefanya hayo atakutana na mkono wa Mungu aliyemweka pale. Awe ni mdhaifu au awe na tatizo lolote hatupaswai kumnenea mabaya wala kumnyoshea kidole.unapofanya hivyo actually unamfanyia Mungu aliyeruhusu awepo hapo.

Adhabu yake huwa mbaya inakwenda mpaka kizazi cha nne.ONYO JIEPUSHENI NA DHAMBI HIYO YA KUMNENEA MABAYA MPAKWA MAFUTA WA BWANA.
Kuna tofauti ya Mungu na NEC
 
Mimi naomba Mh Rais asijisumbue nao lakini Mungu atashughulika nao kwa nguvu kubwa.Salama ya wote Hao ni kuacha kabisa hiyo tabia ili tuwarehemu watoto wetu.
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako
 
Ujinga uko wapi ndg yangu jibu hoja sio matusi.Hivi wewe uliwahi kuwa Marekani.Demokrasia yao ina umri wa miaka 200.sisi bado tunajenga taasisi za kiutawala.bado tunajenga miundombinu msingi kabisa,huwezi kujilinganisha na wenzetu uliowataja.hoja hapa ni kwamba kiongozi wa nchi ni lazima aheshimiwe na watu wote
Wazazi wako unawaheshimu wewe?kamwe ziwezi mheshimu mtu mwenye mawazo na matendo ya ki nyama kama hili jiwe.
 
Itoshe tu kujua kua duniani kuna watu wa kila aina na kila mmoja huwaza na kutenda kivyake, siku binadamu wakifanana namna ya kuwaza na kutenda basi ujue hao wanadamu huenda wamefikia kikomo cha kuwaza au ni vichaa. Katika siasa ni lazima mwanasiasa uwe na ngozi ngumu maana hata utende mema kiasi gani huwezi mfurahisha kila mtu. Wanasiasa waliokomaa kwa matusi au lugha za kejeli haziwanyimi usingizi. Kinachowanyima usingizi ni pale wanaposhindwa kutafua matatizo ya wananchi na wala sio matusi au lugha za kejeli zitokazo kwa wananchi. Mwanafalsa mmoja tena Mao Tse Tung aliwahi kusema “give systematically to people from what you receive from them confusedly”, ukubwa ni jaa la takataka ukikubali kua kaka mkubwa kwenye familia ukubali na kejeli za wadogo zako pamoja na masimango na kutokuridhika kwao. La msingi wewe ni kutimiza wajibu wako kwa ueledi katika jukumu lako kama kaka mkubwa. Ikifika jioni tafakari kwa nini hawaridhiki na wewe jiulize wapi unakosea, ukiona kua huna kosa waite waeleze nia yako njema kwa kwa lugha ya staha bila kuwafokea watakuelewa tu
Ubabe,utemi ndo mpango uliopo!
 
Back
Top Bottom