Je, ni salama kwa kiongozi mkuu wa nchi kufanyiwa dhihaka?

reyjo

Senior Member
Nov 13, 2017
135
157
Katika jamii yeyote ya watu wanaoheshimu utu na kustarabika.Jamii ya watu wanaopenda watoto wao wawe watu wa heshimu,ni lazima kujenga desturi ya kuheshimiana.kuna tabia inaanza kujengeka ya baadhi yetu kudhani kuwa unapomtukana kiongozi unapata sifa,lakini swali la kujiuliza ikiwa ungekuwa wewe ndio unafanyiwa hivyo ungefurahi.

Nchi zetu hizi zinaongozwa na wanadamu ambao si wakamilifu,kama tutaamua tu kuangalia mabaya ya viongozi wetu tutayaona lakini je hakuna mazuri yanayoweza kutufanya tuone umuhimu wa kuwaheshimu.maandiko matakatifu yanatuonya kuwaheshimu viongozi wetu kwa sababu wamewekwa na Mungu kwa makusudi yake mwenyewe.

Magufuli alipokwenda kuchukua form ya kuomba kugombea Urais wengi wetu tulimchukulia tu kama msindikizaji LAKINI MUNGU alimchagua ndio awe kiongozi wetu.

Ombi langu kwenu wote tunapaswa kumheshimu na kumsaidia ili atuongoze mpaka muda wake utakapokwisha.Kumbukeni anaweza akawa amekosea kwa mtizamo wako lakini kwa maslahi mapana ya nchi anapaswa kuungwa mkono.

Magufuli anajenga Reli ambayo itakuwepo kwa miaka mingi ijayo,si kwa manufaa yake bali kwa manufaa ya nchi,Magufuli anajenga miundombinu mikubwa ya kuzalisha umeme ambayo itakuwepo miaka mingi hata baada ya yeye kuondoka lakini kwa ajili ya nchi.Pale ambapo tunahisi Mh amekosea ni vyema kutumia lugha ya staha na heshima.tuepuke matusi.N

atoa taadhari kwa wote,ni muhimu kuzingatia.kwa kuwa Mh Rais ni mtiwa mafuta kwa Bwana ni kosa na dhambi kwa Mungu kumnenea mabaya,kumtukana hata kumtweza,yeyote anayefanya hayo atakutana na mkono wa Mungu aliyemweka pale. Awe ni mdhaifu au awe na tatizo lolote hatupaswai kumnenea mabaya wala kumnyoshea kidole.unapofanya hivyo actually unamfanyia Mungu aliyeruhusu awepo hapo.

Adhabu yake huwa mbaya inakwenda mpaka kizazi cha nne.ONYO JIEPUSHENI NA DHAMBI HIYO YA KUMNENEA MABAYA MPAKWA MAFUTA WA BWANA.
 
Mimi naomba Mh Rais asijisumbue nao lakini Mungu atashughulika nao kwa nguvu kubwa.Salama ya wote Hao ni kuacha kabisa hiyo tabia ili tuwarehemu watoto wetu.
 
Katika jamii yeyote ya watu wanaoheshimu utu na kustarabika.Jamii ya watu wanaopenda watoto wao wawe watu wa heshimu,ni lazima kujenga desturi ya kuheshimiana.kuna tabia inaanza kujengeka ya baadhi yetu kudhani kuwa unapomtukana kiongozi unapata sifa,lakini swali la kujiuliza ikiwa ungekuwa wewe ndio unafanyiwa hivyo ungefurahi. Nchi zetu hizi zinaongozwa na wanadamu ambao si wakamilifu,kama tutaamua tu kuangalia mabaya ya viongozi wetu tutayaona lakini je hakuna mazuri yanayoweza kutufanya tuone umuhimu wa kuwaheshimu.maandiko matakatifu yanatuonya kuwaheshimu viongozi wetu kwa sababu wamewekwa na Mungu kwa makusudi yake mwenyewe.Magufuli alipokwenda kuchukua form ya kuomba kugombea Urais wengi wetu tulimchukulia tu kama msindikizaji LAKINI MUNGU alimchagua ndio awe kiongozi wetu.Ombi langu kwenu wote tunapaswa kumheshimu na kumsaidia ili atuongoze mpaka muda wake utakapokwisha.kumbukeni anaweza akawa amekosea kwa mtizamo wako lakini kwa maslahi mapana ya nchi anapaswa kuungwa mkono.Magufuli anajenga Reli ambayo itakuwepo kwa miaka mingi ijayo,si kwa manufaa yake bali kwa manufaa ya nchi,Magufuli anajenga miundombinu mikubwa ya kuzalisha umeme ambayo itakuwepo miaka mingi hata baada ya yeye kuondoka lakini kwa ajili ya nchi.Pale ambapo tunahisi Mh amekosea ni vyema kutumia lugha ya staha na heshima.tuepuke matusi.Natoa taadhari kwa wote,ni muhimu kuzingatia.kwa kuwa Mh Rais ni mtiwa mafuta kwa Bwana ni kosa na dhambi kwa Mungu kumnenea mabaya,kumtukana hata kumtweza,yeyote anayefanya hayo atakutana na mkono wa Mungu aliyemweka pale.awe ni mdhaifu au awe na tatizo lolote hatupaswai kumnenea mabaya wala kumnyoshea kidole.unapofanya hivyo actually unamfanyia Mungu aliyeruhusu awepo hapo.Adhabu yake huwa mbaya inakwenda mpaka kizazi cha nne.ONYO JIEPUSHENI NA DHAMBI HIYO YA KUMNENEA MABAYA MPAKWA MAFUTA WA BWANA.
we naweee.. ndo kujipendekeza auuuu.. unajifanya ZOMBI
ila yeye anapowambia nyie kuwa KATeRERO NYIE... KISONONO NYIEE.... MAAFA NYIE... UKIMWI NYIEEE.... dhihaka hii unaiona ni sawa au tukubali tu kuwa jamaa ni kichaa mgonjwa fresh ??
 
Kama taifa la watu wastarabu na wenye kuheshimiana ni vyema kujenga tabia ya kukosoana bila kutukanana na penye jema Sema bila kuogopa.tusiwe watu wa kulalamika na kutukana tuuu kwenye mitandao
 
we naweee.. ndo kujipendekeza auuuu.. unajifanya ZOMBI
ila yeye anapowambia nyie kuwa KATeRERO NYIE... KISONONO NYIEE.... MAAFA NYIE... UKIMWI NYIEEE.... dhihaka hii unaiona ni sawa au tukubali tu kuwa jamaa ni kichaa mgonjwa fresh ??
Sina sababu ya kujipendekeza na wala hakuna haja ila nimetoa taadhari.hivi kule kwenu baba akisema neno ambalo unahisi amekosea unafanyaje. Unamtukana au unatafuta namna bora ya kumweleza
 
Sina sababu ya kujipendekeza na wala hakuna haja ila nimetoa taadhari.hivi kule kwenu baba akisema neno ambalo unahisi amekosea unafanyaje. Unamtukana au unatafuta namna bora ya kumweleza
labda babako mie sijawahi sikia babangu amekosea sababu anaakili timamu
 
Sina sababu ya kujipendekeza na wala hakuna haja ila nimetoa taadhari.hivi kule kwenu baba akisema neno ambalo unahisi amekosea unafanyaje. Unamtukana au unatafuta namna bora ya kumweleza
kwanza kanyonye maana hata kutambaa bado hujamaliza
 
Katika jamii yeyote ya watu wanaoheshimu utu na kustarabika.Jamii ya watu wanaopenda watoto wao wawe watu wa heshimu,ni lazima kujenga desturi ya kuheshimiana.kuna tabia inaanza kujengeka ya baadhi yetu kudhani kuwa unapomtukana kiongozi unapata sifa,lakini swali la kujiuliza ikiwa ungekuwa wewe ndio unafanyiwa hivyo ungefurahi. Nchi zetu hizi zinaongozwa na wanadamu ambao si wakamilifu,kama tutaamua tu kuangalia mabaya ya viongozi wetu tutayaona lakini je hakuna mazuri yanayoweza kutufanya tuone umuhimu wa kuwaheshimu.maandiko matakatifu yanatuonya kuwaheshimu viongozi wetu kwa sababu wamewekwa na Mungu kwa makusudi yake mwenyewe.Magufuli alipokwenda kuchukua form ya kuomba kugombea Urais wengi wetu tulimchukulia tu kama msindikizaji LAKINI MUNGU alimchagua ndio awe kiongozi wetu.Ombi langu kwenu wote tunapaswa kumheshimu na kumsaidia ili atuongoze mpaka muda wake utakapokwisha.kumbukeni anaweza akawa amekosea kwa mtizamo wako lakini kwa maslahi mapana ya nchi anapaswa kuungwa mkono.Magufuli anajenga Reli ambayo itakuwepo kwa miaka mingi ijayo,si kwa manufaa yake bali kwa manufaa ya nchi,Magufuli anajenga miundombinu mikubwa ya kuzalisha umeme ambayo itakuwepo miaka mingi hata baada ya yeye kuondoka lakini kwa ajili ya nchi.Pale ambapo tunahisi Mh amekosea ni vyema kutumia lugha ya staha na heshima.tuepuke matusi.Natoa taadhari kwa wote,ni muhimu kuzingatia.kwa kuwa Mh Rais ni mtiwa mafuta kwa Bwana ni kosa na dhambi kwa Mungu kumnenea mabaya,kumtukana hata kumtweza,yeyote anayefanya hayo atakutana na mkono wa Mungu aliyemweka pale.awe ni mdhaifu au awe na tatizo lolote hatupaswai kumnenea mabaya wala kumnyoshea kidole.unapofanya hivyo actually unamfanyia Mungu aliyeruhusu awepo hapo.Adhabu yake huwa mbaya inakwenda mpaka kizazi cha nne.ONYO JIEPUSHENI NA DHAMBI HIYO YA KUMNENEA MABAYA MPAKWA MAFUTA WA BWANA.
Itoshe tu kujua kua duniani kuna watu wa kila aina na kila mmoja huwaza na kutenda kivyake, siku binadamu wakifanana namna ya kuwaza na kutenda basi ujue hao wanadamu huenda wamefikia kikomo cha kuwaza au ni vichaa. Katika siasa ni lazima mwanasiasa uwe na ngozi ngumu maana hata utende mema kiasi gani huwezi mfurahisha kila mtu. Wanasiasa waliokomaa kwa matusi au lugha za kejeli haziwanyimi usingizi. Kinachowanyima usingizi ni pale wanaposhindwa kutafua matatizo ya wananchi na wala sio matusi au lugha za kejeli zitokazo kwa wananchi. Mwanafalsa mmoja tena Mao Tse Tung aliwahi kusema “give systematically to people from what you receive from them confusedly”, ukubwa ni jaa la takataka ukikubali kua kaka mkubwa kwenye familia ukubali na kejeli za wadogo zako pamoja na masimango na kutokuridhika kwao. La msingi wewe ni kutimiza wajibu wako kwa ueledi katika jukumu lako kama kaka mkubwa. Ikifika jioni tafakari kwa nini hawaridhiki na wewe jiulize wapi unakosea, ukiona kua huna kosa waite waeleze nia yako njema kwa kwa lugha ya staha bila kuwafokea watakuelewa tu
 
labda babako mie sijawahi sikia babangu amekosea sababu anaakili timamu
Hakuna mwanadamu chini ya Jua asiyekosea.kama baba yako hakosei basi ni Malaika. Wewe una bahati kuwa na baba asiyekosea.Ila ndani ya nafsi yako unajua unasema uongo, na adhabu ya waongo wote wasipotubu ni moto wa milele
 
Back
Top Bottom