Je ni sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni sahihi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mtaratibuuuuuu, Dec 9, 2011.

 1. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mume anarudi toka kazini anapokewa na mkewe halaf hawajajuliana hali vizuri anauliza dada amelala?(mfanyakaz),au unaenda dukan na mumeo unamwambia ninunulie kiatu,anakuambia nimeona cha dada.Je ina maana anajali sana wa2 wa nyumbani kwakwe pamoja na dada?,na mume kumkumbatia dada anapofika nyumbani ni sahihi pia?
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usifanye utaratibuuu ktk hilo
   
 3. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mrudishe nyumbani kwao huyo dada haraka. Unaibiwa....!
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hahahahaha, Dada anafaidi taratibuuuuuuu
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  huyo dada anataka kumpindua mama mwenye nyumba, timua haraka!
   
 6. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yawezekana anamtamani nini?dada ana mwaka sasa nyumbani na hawajawah kuachwa pa1 ila ndo katoka salimia kwao haya yanajitokeza
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  ukiona manyoya ujue. . . . .
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Mnamwonea tu dada wa watu...dada wa watu mlokole..wala hata huyo mwanaume hana mpango nae huyo dada...ni kwa sababu ya nanilii tu..ile nin vileee....!?
   
 9. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Anataka kufanya mapinduzi baridi.
   
 10. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. h

  hayaka JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  badala ya kubunia mambo fanya utafiti wa kina.
   
 12. M

  Maengo JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je, dada anaonekana kunawiri? Kama jibu ni NDIYO basi watu wameshasherehekea 50yrz ya UHURU!
   
 13. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  huyo baba nae anajisahau sana, si atamani kimya kimya?? kwani hadi aseme?
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Hoyee beki tatu mnaoziweka nyumba sawa katika nyanja zote hadi baba mwenye nyumba anakuweka kwenye paji la uso.

  Good kastama kea!
   
 15. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he sometimes sisi wanaume tunakuwa wapumbavu...anashindwa kumega kimya kimya?
   
Loading...