Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,309
- 24,899
Tabia hujenga mazoea!Tumia akili badala ya makalio, serikali ipi imemjeruhi, tupe ushahidi. Mtu mzm mwenye akili unawezaje kuropoka upuuzi km huo?
Chacha wangwe mlisema ni mbowe
Lisu hamna taarifa yyte mpaka leo.ati aende dereva wake kwanza ? Ndo uchunguzi undelee ! Mpaka leo hajakamatwa hata kibaka tu.
Ben sanane aliuwawa hakuna uchunguzi wowote mpaka leo.
Anzori granda na wengine.
Mzee KIBAO aliuwawa tena raisi wenu akatangaza kabisa kuwatafua wauajji. Aliwatafuta?
We na UCHAWA wako unataka ushahidi upi kwamba serikali ya ccm inahusika???