Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,407
Hapo sasainawezekana, hivi mtu aliedhamiria kukuumiza akupige maramoja tu asirudie pigo la pili?
Hapo sasainawezekana, hivi mtu aliedhamiria kukuumiza akupige maramoja tu asirudie pigo la pili?
Wewe jamaa akili zako hata bashite humfikii. Mbaya zaidi kuna mtu anakuita baba
NAKAZIAAcha ushubwada, serikali ya Samia ndiyo imemjerhi father Kitima
Si Mimi yaani hata sisimizi sikanyagi, nampiga na ntoJe ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
Kunywa pepsi baridi kwa mangi nakuja kulipaYan, mnamvamia padre mumjeruhi na au mumuue kabisa ili ku push agenda ya no Reforms.
#Mliapiza kuwa mtatumia nguvu ya umma, Sasa huo umma umegoma kuwaungeni mkono ktk udharim... na au mmeshindwa kufanya proper mobilization mnataka kutumia njia za kumwaga damu...
Serikali ingetaka kumwua ingetumia jasusi lenye siraha proper kabisa. Na hata angepotea mazima. Hiyo childishness yenu haitoboi popote.
MUNGU ANAILINDA TANZANIA.
hamuwezi mkapata URAIS kwa gharama ya dam za wenzenu ... Inapaswa mmwage dam zenu wenyewe .
Ivi unadhani Viongozi wa kisiasa ni wajinga wakaanze kuwavamia Viongozi wa dini badala wakapeleke vijizawadi ili wawaunge mkono ??
Ushahidi upo kawaulize tanpol watakupatiaTumia akili badala ya makalio, serikali ipi imemjeruhi, tupe ushahidi. Mtu mzm mwenye akili unawezaje kuropoka upuuzi km huo?
Serikali inanuka Damu.Yan, mnamvamia padre mumjeruhi na au mumuue kabisa ili ku push agenda ya no Reforms.
#Mliapiza kuwa mtatumia nguvu ya umma, Sasa huo umma umegoma kuwaungeni mkono ktk udharim... na au mmeshindwa kufanya proper mobilization mnataka kutumia njia za kumwaga damu...
Serikali ingetaka kumwua ingetumia jasusi lenye siraha proper kabisa. Na hata angepotea mazima. Hiyo childishness yenu haitoboi popote.
MUNGU ANAILINDA TANZANIA.
hamuwezi mkapata URAIS kwa gharama ya dam za wenzenu ... Inapaswa mmwage dam zenu wenyewe .
Ivi unadhani Viongozi wa kisiasa ni wajinga wakaanze kuwavamia Viongozi wa dini badala wakapeleke vijizawadi ili wawaunge mkono ??
Walipanga kumuuaJe ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
Asee!Ndiioooo sauti kutoka kwa wabunge wa ccm
Je ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?