Je, ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?

Yan, mnamvamia padre mumjeruhi na au mumuue kabisa ili ku push agenda ya no Reforms.

#Mliapiza kuwa mtatumia nguvu ya umma, Sasa huo umma umegoma kuwaungeni mkono ktk udharim... na au mmeshindwa kufanya proper mobilization mnataka kutumia njia za kumwaga damu...

Serikali ingetaka kumwua ingetumia jasusi lenye siraha proper kabisa. Na hata angepotea mazima. Hiyo childishness yenu haitoboi popote.

MUNGU ANAILINDA TANZANIA.
hamuwezi mkapata URAIS kwa gharama ya dam za wenzenu ... Inapaswa mmwage dam zenu wenyewe .

Ivi unadhani Viongozi wa kisiasa ni wajinga wakaanze kuwavamia Viongozi wa dini badala wakapeleke vijizawadi ili wawaunge mkono ??
 
Yan, mnMvamia padre mumjeruhi n au mumuue kabisa ili ku push agenda ya no Reforms.

Mliapiza kuwa mtatumia nguvu ya umma, Sasa huo umma umegoma kuwaungeni mkono ktk udharim mnataka kutumia njia za kumwaga damu.

Serikali ingetaka kumwua ingetumia jasusi lenye siraha proper kabisa. Na hata angepotexaa mazima. Hiyo childishness yenu haitoboi popote.

Hapa umezingua kinoma yaani...IPO siku mtakinywea hiki kikombe cha wakosoaji wenu.
 
Siyo sahihi lakini Kwa serikali ambayo i aongozwa na majingamajinga yanaona ni sahihi maana hayana akili hata kidogo.Mtu akikosoa tu mapungufu Yao yanakimbilia kumuua.Mashenzi sana haya majitu.
 
Yan, mnMvamia padre mumjeruhi n au mumuue kabisa ili ku push agenda ya no Reforms.

Mliapiza kuwa mtatumia nguvu ya umma, Sasa huo umma umegoma kuwaungeni mkono ktk udharim mnataka kutumia njia za kumwaga damu.

Serikali ingetaka kumwua ingetumia jasusi lenye siraha proper kabisa. Na hata angepotexaa mazima. Hiyo childishness yenu haitoboi popote.

MUNGU ANAILINDA TANZANIA.
hamuwezi mkapata URAIS kwa gharama ya dam za wenzenu ... Inapaswa mmwage dam zenu wenyewe .

Ivi unadhani Viongozi wa kisiasa ni wajinga wakaanze kuwavamia Viongozi wa dini badala wakapeleke vijizawadi ili wawaunge mkono ??
Wewe jamaa akili zako hata bashite humfikii. Mbaya zaidi kuna mtu anakuita baba
 
Back
Top Bottom