Je, Ni sahihi ndege hizi kupewa jina la 'hapa kazi tu'?

naomba niandike kwa kifupi,hivi kweli ni sahihi ndege za umma kuitwa kauli mbiu ya chama wakati zimenunuliwa kwa kodi za wananchi ambao wapo wenye itikadi tofauti na wasio na vyama..je ni sahihi kauli mbiu hii ya chama kutumika kwenye ndege hiz za uma???

HIYO NI KAULI MBIU YA RAIS SIYO YA CHAMA ZINGATIA HILO.
 
Maprofesa wetu ni kama hawa
1. Juma Kapuya
2. Ibrahim Lipumba
3. Mbarawa
4. Tibaijuka

Nadhani inabidi walioweka category ya profesa katika academics washitakiwe kwa shambulizi na utesi wa akili za watu
 
Kauli mbiu ya "Hapa Kazi Tuu" ilikuwa ni slogan ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kama ilivyo kwa ilani ya uchaguzi ya CCM, baada ya CCM kushinda, slogan hiyo ina change hands na kuwa ni kauli mbiu ya taifa na ilani ya CCM ndio ilani ya nchi, hivyo they are right, Ukawa wakichukua nchi 2020, nao ruksa kuiandika "People's Power!".
Pasco
utadharaulika kwa komenti za hovyo kama hizi!

Usijitoe ufahamu pasco!
 
naomba niandike kwa kifupi,hivi kweli ni sahihi ndege za umma kuitwa kauli mbiu ya chama wakati zimenunuliwa kwa kodi za wananchi ambao wapo wenye itikadi tofauti na wasio na vyama..je ni sahihi kauli mbiu hii ya chama kutumika kwenye ndege hiz za uma???
Waache Waite uwezijua kauli mbiu ikiisha na yenyewe imeisha .
 
Xaxa huyuu jamaa kam angetowa pesa zake za mfuniko kununua hizoo ndege ingekuwaje jamani eeh?
Maanake hatupumui kabisa dooooo..
 
Kauli mbiu ya "Hapa Kazi Tuu" ilikuwa ni slogan ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kama ilivyo kwa ilani ya uchaguzi ya CCM, baada ya CCM kushinda, slogan hiyo ina change hands na kuwa ni kauli mbiu ya taifa na ilani ya CCM ndio ilani ya nchi, hivyo they are right, Ukawa wakichukua nchi 2020, nao ruksa kuiandika "People's Power!".
Pasco
Wakichukua nchi waziandke ukuta
 
Acha kuvuta wese
 
Pasco usinitafutie ban ya lazima naomba unitake radhi!!
 
Kauli mbiu ya "Hapa Kazi Tuu" ilikuwa ni slogan ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kama ilivyo kwa ilani ya uchaguzi ya CCM, baada ya CCM kushinda, slogan hiyo ina change hands na kuwa ni kauli mbiu ya taifa na ilani ya CCM ndio ilani ya nchi, hivyo they are right, Ukawa wakichukua nchi 2020, nao ruksa kuiandika "People's Power!".
Pasco
Pasco katika ubora wako.
 
Acha kuvuta wese
MKUU HELLO, umejuaje? !.
Kiukweli napenda harufu ya petrol, thinner, nail Polish removal, na spirit! . Sometimes nanyunyuzia kwenye handkerchief na kunusa!.
Kinywaji changu ni Chivas na John Walker Black Label! .
Pasco
 
Back
Top Bottom