Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,293
Wacha u maandazi wewe baba hii ni mali ya watanzania twiga yule anawakilisha tz. Kwani Huyu baba ametoa pesa mifukoni kwake akanunua ndege?! au ndo anataka kuanza kujimilikisha mali za watanzania? Mchewwwwwww sijawahi ona duniani hii sio private jet wala sio ndege ya ccm halaaaaKauli mbiu ya "Hapa Kazi Tuu" ilikuwa ni slogan ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kama ilivyo kwa ilani ya uchaguzi ya CCM, baada ya CCM kushinda, slogan hiyo ina change hands na kuwa ni kauli mbiu ya taifa na ilani ya CCM ndio ilani ya nchi, hivyo they are right, Ukawa wakichukua nchi 2020, nao ruksa kuiandika "People's Power!".
Pasco