Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

Nenda kaanze upya mwaya.

Umeshaona mahali hapakufai na hutakiwi unataka ubaki ulazimishe ili iweje? Hakunaga bingwa wa ndoa, wala mapenzi.

Tuliza akili...Stay focused. Cheza kwa step ikiwezekana hama kabisa mbali na hapo. Angalia mahitaji ya mwanao. Ukituliza akili hata mbususu itatulizwa haitachakatwa na kina mzabzab.

Mtangulize Mungu. All the best.
 
Ah naona kiaina unanipigia pande kwa mrembo aje nikule mbususu
 
Hatuwezi jua kati yenu mwenye tatizo ni nani, mi ninachoshauri sio lazima kuoa/kuolewa. Kuna watu mna tabia ngumu hamuwezi kuishi na mtu yeyote duniani, jitahidini kuishi pekeyenu.

Tujifanyie self assessment kujua kama tunaweza kuishi na wenza.
 
Kabisa mkuu, kuna watu hawakutakiwa kuwa ndoani, husabisha ndoa zisizo na furaha, ila jamii nayo iwachukulie positive watu wasiokuwa na ndoa, kuepusha watu kuoa sababu ya formality tuu na sio mapenzi halisi ....
 
Nakushauri rudi kwa Baba mtoto wako uliyezaa nae mtoto.
Uendeleze maisha.

Kuishi na single mother ni Sawa na kununuwa kiwanja eneo la Tanrod,,
Muda wowote ni bomoa bomoa

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Kumvuta.,, haijawai kuwa suluhu ya kumsaidia mtu aliyekanyaga brake....

Story ni One sided,,, Wanawake mko vizuri sana ku play a Victim.

USHAURI: Kama una hela ya kulipa kodi nenda tu Kapange..... Kujua ni sawa au sio sawa tunatakiwa kusikia upande wa pili wa stori..
 
Iko hivi nimekua katika ugomvi wa mda mrefu na mwenzangu( mume) bila kupata suruhu

Maumivu ni makali hasa dharau ndani mtu kuwa na wanawake hadharan Wala hajali hata ukilia unaoneka unampigia kelele tu. Nimeamua kurudi nyumban kwanza kupumzika.

Ninawiki sasa nataka nirudi kwangu ila nikapange chumba sababu ninabiasharaa uko na nimefungua, pia ninamtoto nadhan trh 19 anafungua shule.

Ninavikoba marejesho ya kutosha natakiwa ada mtoto akifungua shule, maana sio mtoto wake, je nikiendelea kukaa nyumban haya mahitaji nitafanyaje?

Nawaza nitoke na godoro nyumban nikapange tu Ili niendelee kujipatia mahitaji
Kwa Nini unaisi na mme usie zaa nae?
 
Happy Amosi kwanza pole kwa mitihani hiyo.

Pili hongera wewe ni jembe pamoja nanchangamoto hizo bado una nia na ari ya kupambana kuijenga kesho yako.

kwa kuwa una kianzio tayari nenda kapange uishi na kulala kwa raha.

umesema mtoto uliye naye si wa mume wako wa sasa. Kama ana mwanamke mwingine na hajali kuhusi hisia zako basi huyo atakunyima raha.

Sikiliza akiki zako zinasemaje achana na moyo.

Moyo utakuumiza.
 
Me nakushauri rudi kwa baba mtoto uliyezaa naye uku mtaani utaliwa mbususu adi ukome nakuambia kimbia haraka sana maisha ya usingo mama yatakutesa sana kiukweli na unaonyesha dhairi ww unashida maana ni mme wa pili sasa uyo anakuacha kaa chini tafakari unapokosea na ujirekebishe
Ww mwache aje kitaa mbususu yake italiwa mpaka atakapoirudisha kwa mumewe.....
sasa aombee mumewe aje aikatae mazima...
sisi huku kitaa tutakuwa tunajipigia tu
 
Nenda kaanze upya mwaya.

Umeshaona mahali hapakufai na hutakiwi unataka ubaki ulazimishe ili iweje? Hakunaga bingwa wa ndoa, wala mapenzi.

Tuliza akili...Stay focused. Cheza kwa step ikiwezekana hama kabisa mbali na hapo. Angalia mahitaji ya mwanao. Ukituliza akili hata mbususu itatulizwa haitachakatwa na kina mzabzab.

Mtangulize Mungu. All the best.
Ww kuna mwanaume asiyeto.....mba nje!!!mwambieni huyo mwanamke mwenzenu aache ukichaa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom