Je ni sahihi kununua starlet yenye namba usajili A..

Babafetty

Senior Member
Nov 11, 2013
107
107
mambo vp wadau,
naombeni ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu ktk hili,
nataka kununua gari dogo, yenye CC ndogo kwa matumizi ya nyumban,
ndugu yang anafanya kaz, bosi wake wa kike anagari aina starlet, kwa nwenekano bado nzur, anapofanya kaz na nyumban kwake sio mbali,
kaongea naye akasema nipeleke kias kat ya 3m - 4 M.
ila hoja yang ya msingi,
ni sahihi kununua gar yenye namba A?
take note: cna ela ya kuongezea kwa ajili ya kununua gar mpya.

ushaur tafadhali
 
Starlet iko vizuri sana kwa misele ya town.

Number siyo issue chukuwa fundi aikaguwe injini kama haina tatizo chukuwa gari hiyo.

Mimi siyo muosha kinywa nayaelewa magari, gari yangu ya kwanza 504 guruwe nimeanza kumiliki mwaka 2000.

Mimi nilikuwa na Toyota Surf nilimuuzia mtu ina namba A huku roho inaniuma maana nilibadirisha injini nilitowa 2L na nikaweka injini ya 1kz zile za Land cruiser, kwahiyo niliyemuuzia ile gari leo ukimuuliza swali kama hili lako atakucheka.

Nimeona nikupanuwe ufahamu kidogo uelewe elimu ya magari, unaweza kuuziwa gari namba C na mchaga ukakuta ni bora hata hilo namba A maana mchaga kila msiba moshi ataenda na hiyo gari kila dharura yuko moshi na gari, kwa kifupi mimi siwezi kununuwa gari kwa mchaga.
 
nashukuru kk, nimepata kitu ktk hili
 
Nipe Mimi uzima wa gari cyo namba ,injini ndo kila kitu
oh,
nmeongea naye mwenye gar anasema hajawah kugusa injini na gia box,
nlimtuma fund akasema injin na makorokoro mengne ya ndan yako fresh..
 
Mkuu gari haliangaliwi kwa namba A wala D, unachotakiwa ni kujua historia la mwenye gari na hilo gari kuhusu matumizi yake maana unaweza ukalikimbia gari lenye namba A kumbe ni gari ambayo mwenye gari hulitumia kwenda kanisani na mizunguuko midogo midogo ya mjini alafu ukambilia namba C ambalo linapigishwa mzigo hasa..tafuta fundi akukagulie gari kabla ya kununua
 
Mipia naokota kitu hapo, maana stalt naisikiasikia sana humu, je kati ya hilo na karinna ipi mawe hapo?" maana nawania kati yahizo mojawapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom