johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Kwa hiyo Majaliwa ameshastaafu!ndio ni sahihi,kisheria Madaraka ya waziri mkuu yanakoma,pale tu Rais anapomaliza kuapa
Kwa hiyo Majaliwa hajastaafu uwaziri mkuu!EL nadhani atabaki kwenye historia kama PM aliejiuzuru kwa scandal;
John Malecela atabaki kama PM alietimliwa na mzee Ruksa 1994 na Msuya kumalizia ungwe ya pili ya mzee Ruksa 1994-95.
Bila shaka kama atakosa uteuzi toka kwa muajiri wake ambae ni Rais wa JMT, bila shaka ataingia kwenye record ya kutumika miaka mitano kama Joseph Sinde Warioba 1985-90.
Ikitokea akateuliwa tena na kuthibitishwa na Bunge, ataingia kwenye record kama ya Sumaye kuwa PM back to back au Mizengo Pinda aliemalizia awamu ya kwanza ya JK na kuaminiwa kwa awamu ya pili.
Kila la kheri wale wote wenye bahati ya kuchagiliwa kuwa wabunge.maana wana equal chance ya kuteuliwa. PM Majaliwa ana chance kubwa kwa uchapa kazi wake kwenye awamu ya kwanza ya Rais wa JMT.
That is the status as of now. Unless he will be given an opportunity to serve again as the PM...which I think would be the case. Ukiangalia jinsi mambo yanavyoenda.Kwahiyo Majaliwa ameshastaafu!
Kama unavuka mpaka ni pale upo kwenye "no man's land"Kwahiyo Majaliwa hajastaafu uwaziri mkuu!
Nawauliza watu wa itifaki kama ni halali kwa kipindi hiki cha mpito kumtambulisha Waziri mkuu wa awamu ya 5 Mh Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu Mstaafu.
Naomba majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Pia Katiba inajichanganya kwa kusema mara Bunge linapovunjwa Wabunge wanakoma kuwa Wabunge, na bila ubunge mtu hawezi kuwa waziri wala waziri mkuu, ikiwemo Urais!! Yaani Rais nae anakoma kuwa Rais.Rais anapokula kiapo na mawaziri wanakoma kuwa mawaziri.
Unajua maana ya kustaafu lakini?That is the status as of now. Unless he will be given an opportunity to serve again as the PM...which I think would be the case. Ukiangalia jinsi mambo yanavyoenda.
Kwahiyo mawaziri wote wamestaafu?Rais anapokula kiapo , kwa mda huo nchi inakuwa haina Rais, na hapo hapo mawaziri wote akiwemo waziri mkuu -wanakoma .
Sasa hivi hakuna baraza na mawaziri. Utendaji wa serikali unaratibiwa na Katibu Mkuu kiongozi hadi hapo baraza jipya litakapo tangazwa.
Kukoma ndio kustaafu?Rais anapokula kiapo na mawaziri wanakoma kuwa mawaziri.
Kwa ujumla hauna Waziri Mkuu mstaafu Tanzania. Hakuna Waziri yeyote aliyeondoka madarakani kwa kustaafu Bali waliondoka kwa muda wao kuisha. Kwa kingereza they are former Prime Minister and not Retired PMs.Nawauliza watu wa itifaki kama ni halali kwa kipindi hiki cha mpito kumtambulisha Waziri mkuu wa awamu ya 5 Mh Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu Mstaafu.
Naomba majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!