Je, ni sahihi kumsomesha mke?

Je, ni sahihi kumsomesha mke?

Samahani wanaume wenzangu katika kikao cha mwisho nilichohudhuria tulikubaliana kua ni marufuku kumsomesha mchumba, labda sana sana kumpeleka tu ktk yale mafunzo ya cherehani. Sasa swali langu ni je, kwa mke nayo ni hivyo hivyo?

Kuna mtoto wa mtu kamaliza kozi ya ualimu ngazi ya cheti. Ni wife material hasa na inavyoelekea anaweza akanishawishi nikauacha ubachela rasmi mwaka huu. Sasa moja ya ndoto zake akishaolewa anatamani aendelee kielimu apate kadiploma.

Karibuni kwa ushauri.

Uzi tayari!
hapo hakuna mke wala mchumba wa kumsomesha
 
Ukiwaza negative itakuwa negative Ivo Ivo na sio kilamtu kaumizwa na kumsomesha
mke Ila tupo kwenye circle kilakitu kipo mapenz yapo furaha zipo huzuni pia zipo so maamuz ni yako na kwaajili ya future yenu na watoto wenu

Pia ukumbuke unamuoa wakat kashasomeshwa na wazaziwake lkn maisha na familia atajenga na wewe.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Umemalizia vema, kusomesha ni jukumu la mzazi.
 
Back
Top Bottom