Bashe atakuelewa kweli?Tanzania siyo Somalia
Nikapaki tanker kibarazani kwangu halafu asabuhi mapema napiga resiUnataka kwenda huko
Kwakweli boss😂😁Ningefanya hivyo lakini watoto wakali wa JF watasononeka na kufa kwa msongo wa mawazo. Hii ID huwapa faraja walio taabuni.
Karibu Oljoro hapa utapata nafasi upige resiNikapaki tanker kibarazani kwangu halafu asabuhi mapema napiga resi
CCM wana majibu sahihi japo watakupa majibu mepesi kama yale ya watekaji kwamba ni watu wasiojulikana hata kama hawatakiwi wajulikaneIkiwa ni ruhusa labda mtu awe na kibali ,ni urahisi upi uliopo wa kupata kibali ?
Kuna nchi hizi za dunia ya tatu wananchi wanabeba silaha,hapo Somali ni kawaida kumkuta mtu ana kifaru nje ya nyumba ,Yemeni watu wazima mjini na watoto mnijishamba wanabeba smg na risasi zinauzwa sokoni kama njugu ,ajabu husikii mapigano ya kipumbavu au mtu kapigwa risasi ,wala mambo ya ujambazi sijui kateka au katekwa ,huyasikii .
Je binadamu wa nchi hizo wanaheshimiana na kila mtu na lake ,wale wa "dont touch me"
Je inawezekana Tanzania watu wakaruhusiwa kila anaetaka kubeba silaha na abebe. Au akili zetu hazipo sawa ?
Njo vilee!Kwakweli boss
Ndio wapiNjo vilee!
Huwa nawasikia wakongo wakisema njo vilee! wakimaanisha poa au sahihiNdio wapi
Ohhh okyHuwa nawasikia wakongo wakisema njo vilee! wakimaanisha poa au sahihi
Ni hivyo mkuu.Ohhh oky