Je ni ruhusa kubeba silaha ?

Je ni ruhusa kubeba silaha ?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,179
Ikiwa ni ruhusa labda mtu awe na kibali ,ni urahisi upi uliopo wa kupata kibali ?
Kuna nchi hizi za dunia ya tatu wananchi wanabeba silaha,hapo Somali ni kawaida kumkuta mtu ana kifaru nje ya nyumba ,Yemeni watu wazima mjini na watoto mnijishamba wanabeba smg na risasi zinauzwa sokoni kama njugu ,ajabu husikii mapigano ya kipumbavu au mtu kapigwa risasi ,wala mambo ya ujambazi sijui kateka au katekwa ,huyasikii .
Je binadamu wa nchi hizo wanaheshimiana na kila mtu na lake ,wale wa "dont touch me"

Je inawezekana Tanzania watu wakaruhusiwa kila anaetaka kubeba silaha na abebe. Au akili zetu hazipo sawa ?
 
kubeba silaha baridi rukhsa Tanzania,

silaha za moto rukhsa kumiliki kwa mujibu wa vigezo na masharti yaliyoko kwenye sheria tu :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom