Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

I liked AK 47 than SMG though ukikuta ambazo zote ni well designed, u gonna enjoy the show
 
SMG maana yake ni Sub Machine Gun.
Zipo SMG aina nyingi sana na zinakuwa categorized na ile rate of fire, yaani idadi ya risasi zinazotemwa kwa dakika.

AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.
Nilifikiri SMG ni short machine gun maana pia pana LMG ikimaanisha Long
 
Acha uongo, hakuna SMG unayoweza kupiga risasi 400 hadi 800 kwa dakika
Kwanza magazine 1 inapakia risasi 30 ili upige risasi 300 tu inakubidi uwe na magazine kumi tena ziwe na risasi kabisa yani uwe unabadilisha magazine tu
Acha ujuha wewe SMG unaweza kuweka hata risasi 15oo
 
Smg ni sub machine guns sio machine gun ni kama bastola iliyoboreshwa kidogo lakini ak47 ni machine gun au assault rifle inaenda mbali zaidi ya smg na mfumo wake ni bora zaidi.
 
Mkuu ak 47 maana yake ni automatic kalashkonov inamaanisha kuwa hata utoaji wake wa risasi ni wa fasta na nyingi sana na kalashkonov ndio mmilik wake
















emwa kwa dakika.

AK47 ni aina moja tu kati ya aina nyingi za SMG.
AK47(Mikhail Klasnikov) ni kifupi cha mgunduzi Mrusi wa silaha hii aliyeigundua mwaka 1947.[/QUOTE]
 
Mkuu unanitisha unapoanza kuulizia aina za silaha....hasa kipindi hiki cha kuhitaji ukombozi....nachelea na mm nkauliza na bei na idadi sawa na mahitaji ya familia yangu....naona maandalizi ya aman yanaanza.......jokes
 
Mkuu hizo ni silaha za kivita na huwa zinahodhiwa na majeshi tu.
Hata ukipata SMG hutoweza kuwa na ubavu wa kulishia risasi zake maana zinaweza kupiga risasi 400 hadi 800 kwa dakika.
Magazine ya SMG inachukua risasi 30 na wala haisuport mkanda wa risasi hizo 300 kwa dakika sio
 
SMG VS AK47 hizo zote ni siraha aina moja . kinachotofautusha ni nchi ziliko tengenezwa.
Pia unatakiwa ujue kwamba hakuna siraha duniani ambayo jina lake ni SMG .

Hlo Jina la SMG ni tabia ya siraha ambayo kirefu chake ni sub machine gun. SMG ni siraha yoyote yenye mapigo ya aina mbili hapa namaanisha chaguzi za upigani .

Inakuwa na single fire na rapid fire .
Hizo siraha zmetengezwa mataifa tofauti tofauti ambapo kwa mrusi inajulikana ni AK 47 ,kwa mchina inajulikana 76.5mm , kwa mjerumani inajulikana kama G3:, kwa mwisrael inajulikana kama uz gun ,kwa mwingereza na marekani inajulikana kama M 16 .

Hizo zote ni SMG yaan ina mapigo mawili. Kuitwa SMG ni mazoea yetu watz lakn hakuna siraha duniani inayoitwa SMG ...

Kinachozitifautisha ni caliber..
we Afande Ndo nimekuelewa hongera nadhani uliowafundisha kwa sasa ni askar wazuri sana
 
Back
Top Bottom