F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,299
- 1,037
Habari zenu wakuu wa jamvi naomba kuuliza kwa wale wenye uelewa wa tofauti kati ya silaha hizi SMG na ILE inayoitwa AK-47 nimekuwa mfatiliajia sana wa habari hapa nchi utasikia majambazi yamekamatwa na SMG siku nyingine utasikia majambazi yamekamatwa na AK-47 Je ni nini hasa tofauti kati ya vyombo vihi viwili au ni kitu kimoja ila majina tofauti na je kwanini nchi kama kenya hizi mashine hazitumiki sana tofauti na nchi kama Tanzania kila sehehu unakuta zipo despalayed.