Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

Mkuu kila silaha na mtengenezaji wake.
Hata AK47 imekuwa copied and pasted nchi nyingi.
Poland waliimodify na kuiita AK74
Cyclic rste of fire ni mpaka 650rds/min.
View attachment 491247
Rate of fire Cyclic: 600-650 RPM[4]
Practical:
Automatic: 100 RPM[5]
Semi-auto: 40 RPM[5]
Unajua tulipishana nilivyosema hakuna smg inayotumia risasi 400-800 kwa dk 1?
Na bado ninaendelea na msimamo wangu japo umenambia sijapitia Jkt ila hayo mambo ndio nilipojifunzia
Kuhusu Ak47 sijaongelea kabisa na najua zipo nyingi tu
 
Unajua tulipishana nilivyosema hakuna smg inayotumia risasi 400-800 kwa dk 1?
Na bado ninaendelea na msimamo wangu japo umenambia sijapitia Jkt ila hayo mambo ndio nilipojifunzia
Kuhusu Ak47 sijaongelea kabisa na najua zipo nyingi tu
Mkuu mpaka hivi karibuni Mrusi ana SMG aliyocopy toka kwa Mjerumani Mp18 inayofanana na Mp57.
1408351395.jpg


Hiyo SMG ya Kirusi inaenda 900rnds/min
 
Ak 47 wanauza sh ngapi hapa dar, zipo za nusu bei?
 
Mkuu mimi si afande, la hasha ila nimedoma sana military conflicts and armaments tokea enzi za Mkwawa.
Hongera kuelimisha wengine. Mie naona afande kwa kuwa unauelewa wa hayo makitu maana kukitakiwa watu we wa kwanza kuchaguliwa sio sawa na si ht majina hatujui si hatari hiyo? Hongera
 
Hongera kuelimisha wengine. Mie naona afande kwa kuwa unauelewa wa hayo makitu maana kukitakiwa watu we wa kwanza kuchaguliwa sio sawa na si ht majina hatujui si hatari hiyo? Hongera
Mkuu mi si afande.
 
Ak 47 wanauza sh ngapi hapa dar, zipo za nusu bei?
Hujajua bei yake bado unaulizia kama zipo za nusu bei
Hata ukitajiwa utajua kama ndio bei yake au ni nusu bei?
Si bora uende mwenyewe ukaulizie, wanauza kambi yoyote ya jeshi uliyo karibu nayo
 
Nataka kununua lile likata miti kama la kwenye mkanda wa Anord Wa Predeta linauzwaje wadau nina milioni 30 mwenye nalo aje PM
 
Habari zenu wakuu wa jamvi naomba kuuliza kwa wale wenye uelewa wa tofauti kati ya silaha hizi SMG na ILE inayoitwa AK-47 nimekuwa mfatiliajia sana wa habari hapa nchi utasikia majambazi yamekamatwa na SMG siku nyingine utasikia majambazi yamekamatwa na AK-47 Je ni nini hasa tofauti kati ya vyombo vihi viwili au ni kitu kimoja ila majina tofauti na je kwanini nchi kama kenya hizi mashine hazitumiki sana tofauti na nchi kama Tanzania kila sehehu unakuta zipo despalayed.
SMG VS AK47 hizo zote ni siraha aina moja . kinachotofautusha ni nchi ziliko tengenezwa.
Pia unatakiwa ujue kwamba hakuna siraha duniani ambayo jina lake ni SMG .

Hlo Jina la SMG ni tabia ya siraha ambayo kirefu chake ni sub machine gun. SMG ni siraha yoyote yenye mapigo ya aina mbili hapa namaanisha chaguzi za upigani .

Inakuwa na single fire na rapid fire .
Hizo siraha zmetengezwa mataifa tofauti tofauti ambapo kwa mrusi inajulikana ni AK 47 ,kwa mchina inajulikana 76.5mm , kwa mjerumani inajulikana kama G3:, kwa mwisrael inajulikana kama uz gun ,kwa mwingereza na marekani inajulikana kama M 16 .

Hizo zote ni SMG yaan ina mapigo mawili. Kuitwa SMG ni mazoea yetu watz lakn hakuna siraha duniani inayoitwa SMG ...

Kinachozitifautisha ni caliber..
 
Kwa magazine moja kupakia risasi 100 siwezi kubisha, kwanza SMG zipo aina nyingi sana ila kutumia mkanda ndio nafikiri hakuna smg ya hivyo
Kwanza smg sio kwamba ndio silaha nzuri sana hapana ila urahisi wa ubebaji pia sio nzito rahisi kutumia nk ndomana inatumika sana
Mfano LMG ile ndio inatumia mkanda lakini ubebaji mgumu kwanza nzito utumiaji mgumu ila ukiweka stendi na ushaseti mkanda wako hakuna anayesogea
Hakuna Ak 47 au 76.5 mm yenye uwezo wa kufungwa mkanda wa risasi..
Pia ak 47 ni siraha ndogo kat ya siraha za kivita.

Kama ulikuwa unafuatilia field za mweshimiwa Osama bin laden SMG ya mchina ndio siraha aliyokuwa anaiheshimu sana na aliiamini sana
 
Back
Top Bottom