Ataichosha injiniKazi nzuri ni kazi gani kaka
Kwa umri huo usijichoshe ww danga kwanza mpaka ukue
Ataichosha injiniKazi nzuri ni kazi gani kaka
Kwa umri huo usijichoshe ww danga kwanza mpaka ukue
Kabisaaa, ila amejitahidi kuliunda vizuri tangazo lake!!!Jazia tangazo vizuri,usijekosa wateja ukaleta lawama baadae.
Hilo ndo jibu sahihi kwakeAtaichosha injini
mzee umesikia matokeo ya kura za maoni?Kuoa ni wajibu! Sharti ujipange!
acha ushambahakuna mtu hapa wakuu😆😆
sasa wewe unaezijua si uzitaje badala ya kubwatuka tu hapaHiyo kazi nzuri kama umeajiriwa,basi waajiri waliramba galasa kama mpka umri huo hujui faida ya kuoa
ushamba ni nini?acha ushamba
hamuelewan kwa sababu hueleweki, hata mm pia kwny list ya faida ulizotaja cjaona faida yenye mashiko et nioe ili nimjue mwanamke kiundani ...khaaaa ili iwaje kwa mfanomkuu we naona hatuelewani
Endelea tu kula bata, life begins at 40 wasikuchoshe!!Habari wakuu,
Mimi ni kijana niliyefikisha umri wa kuoa nina 27 kwa sasa, ni kwamba familia na jamii inayonizunguka naona wananisisitiza sana nioe eti kwakuwa nina kazi nzuri na ninajimudu kimaisha. Lakini kwa mtazamo wangu sioni ka kuna ulazima katika hili ukizingatia chochote ninachokitaka naweza kukipata kwa wakati kwa sasa, asa kwanini nijibebeshe mzigo?
Naombeni ushauri zaidi wadau katika hili huenda naweza shawishika nikabadili mtizamo wangu
AsanteEndelea tu kula bata, life begins at 40 wasikuchoshe!!
Ticket ya uhakika ya mechi mda wote iwe jua,masika,vuli au kiangazi ni mechi tuHabari wakuu,
Mimi ni kijana niliyefikisha umri wa kuoa nina 27 kwa sasa, ni kwamba familia na jamii inayonizunguka naona wananisisitiza sana nioe eti kwakuwa nina kazi nzuri na ninajimudu kimaisha. Lakini kwa mtazamo wangu sioni ka kuna ulazima katika hili ukizingatia chochote ninachokitaka naweza kukipata kwa wakati kwa sasa, asa kwanini nijibebeshe mzigo?
Naombeni ushauri zaidi wadau katika hili huenda naweza shawishika nikabadili mtizamo wangu
mkuu kama faida ndio hii tu mbona mechi Nina uhakika nazo hata sasa tena kwa watoto standard mpk wengine hua nawaepuka wanavoniandamaTicket ya uhakika ya mechi mda wote iwe jua,masika,vuli au kiangazi ni mechi tu
Hili ni muhimu zaidi kwani kinyume cha chapo itakusababishia uanze kuwaka tamaa za mwili,kitu ambacho ni dhambi...Ticket ya uhakika ya mechi mda wote iwe jua,masika,vuli au kiangazi ni mechi tu