Je, ni nini hasa faida ya kuoa?

Je, ni nini hasa faida ya kuoa?

miaka 27 hadi leo hujui umuhimu wa kuoa, nakusikitikia sana

kweli watu tunatofautiana
 
Masuala ya kuoa achana nayo .. Yaani utajiingiza katika gereza la maisha bila kutarajia
 
Sipingani na wengine lakini maisha yenyewe yataamua uoe ama usioe, Kwani ni wote walio oa walikua na nia za kuoa? Wengine maisha yaliwapiga wakaona wajifiche kwenye ndoa,na Wengine wameingia kwenye ndoa wakakuta kunawaka moto, Kwa sababu haya yote yanapotokea yanatokea na utakua huba uwezo wa kuyabadili, Fanya yale unayoweza, Usiingie mahali ambapo hupafahamu kwa sababu itakua si nia yako.
 
Masuala ya kuoa achana nayo .. Yaani utajiingiza katika gereza la maisha bila kutarajia
Hata Mimi hiki kitu hua nakihofia sana kama ni watoto naweza kuwapata hata bila hio ndoa na naweza kuwalea na wakaishi maisha ya furaha tu. asa kwanini nijifunge kwny ndoa
 
naona tangazo lilee kwa mbaali ivi

anyway, hakuna umuhimu wa kuoa kwa kweli, ni utamaduni aliekuja nao mjinga mmoja eti kila mtu afate, upate heshima, ilihali heshima ni Pesa, kizuri ni Pesa

kama maziwa na nyama unapata kwanini ufuge ng'ombe ?

usioe
 
ndio tusaidiane kueleweshana hizo faida mkuu tusiishi kwa kukariri
1. Ndoa inakujengea heshima kwenye jamii
2. Ndoa inakufanya usiwe mtu wa kurelax na uwe mtu wa kuwajibika
3. Ndoa inakufanya usahau anasa zingine za duniani
4. Ndoa inakufanya uishi maisha yenye furaha (ikiwa utafuata kanuni za maisha ya ndoa)
5. Ndoa inakufundisha namna sahihi ya malezi ya watoto
6. Ndoa inakufundisha jinsi gani ya kuishi na mwanamke na kujua tabia zake kiundani
7. Ndoa kiroho inawaunganisha kifamilia na Mungu
8. Ndoa inakufanya uachane na maisha/matendo ya kihuni/kisela/kibaharia na kufikiri kikubwa zaidi

Hizo ni kwa uchache, ila ukiwa ni walewale wa '' KAMA NAPATA MAZIWA NA NYAMA, NG'OMBE WA NINI?' Achana kabisa na suala la ndoa maana halikufai, bali starehe na anasa za dunia ndizo zinakufaa

Na pia kwa kuongezea, suala la ndoa sio la mchezomchezo/lelemama/kuchukulia poa, kama unaona HAUJAWA TAYARI kuoa ni mara kumi ubakie single milele kuliko kuingia kwenye taasisi hii ya ndoa, usije ukaharibu hisia za watoto wa watu huko... JIPANGE NDOA YAHITAJI COMMITTMENT na sio mchezomchezo
 
Kuna mtu aliwahi kuandika humu kuwa jamii inashinikiza kuoa ili ba wewe uteseke kama wao wanavyoteseka na dhahma ya ndoa. Kwamba sisi tuteseke wewe ule tu bata, haiwezekani lazima uonje joto ya jiwe.
 
1. Ndoa inakujengea heshima kwenye jamii
2. Ndoa inakufanya usiwe mtu wa kurelax na uwe mtu wa kuwajibika
3. Ndoa inakufanya usahau anasa zingine za duniani
4. Ndoa inakufanya uishi maisha yenye furaha (ikiwa utafuata kanuni za maisha ya ndoa)
5. Ndoa inakufundisha namna sahihi ya malezi ya watoto
6. Ndoa inakufundisha jinsi gani ya kuishi na mwanamke na kujua tabia zake kiundani
7. Ndoa kiroho inawaunganisha kifamilia na Mungu
8. Ndoa inakufanya uachane na maisha/matendo ya kihuni/kisela/kibaharia na kufikiri kikubwa zaidi

Hizo ni kwa uchache, ila ukiwa ni walewale wa '' KAMA NAPATA MAZIWA NA NYAMA, NG'OMBE WA NINI?' Achana kabisa na suala la ndoa maana halikufai, bali starehe na anasa za dunia ndizo zinakufaa

Na pia kwa kuongezea, suala la ndoa sio la mchezomchezo/lelemama/kuchukulia poa, kama unaona HAUJAWA TAYARI kuoa ni mara kumi ubakie single milele kuliko kuingia kwenye taasisi hii ya ndoa, usije ukaharibu hisia za watoto wa watu huko... JIPANGE NDOA YAHITAJI COMMITTMENT na sio mchezomchezo
hiyo orodha haijaonyesha faida ya kuoa kama mleta mada alivyotarajia. naona tu umeorodhesha hali unayokuwemo ukioa. na bahat mbaya mengi umetaja ni ya kumkimbiza mtu asioe. mf ndoa kunifutia anasa. ndoa kuniwajibisha zaidi ya kawaida wengine waishi. ndoa kunifanya nimjue mwanamke zaid, ili iweje?
 
mkuu we naona hatuelewani
 
Hiyo kazi nzuri kama umeajiriwa,basi waajiri waliramba galasa kama mpka umri huo hujui faida ya kuoa
 
Back
Top Bottom