Hivi ni kingola/kingora au king'ora..???Kwanza define kingola, then kazi ya kingora, kutokea hapo utapata jibu
Hatuna neno hilo kwenye matumizi sahihi ya kiswahili..
Subili niangalie Kamusi.Hatuna neno hilo kwenye matumizi sahihi ya kiswahili..
Whaterver, as long as the context is home and dry!Hivi ni kingola/kingora au king'ora..???
Neno King'ola ndo neno sahihi mkuu kwa mjibu wa kiswahili sanifu.Hatuna neno hilo kwenye matumizi sahihi ya kiswahili..
Asante sana kwa ufafanuzi wako.Nafikiri pengine yahitaji kuwa na sababu maalum sidhani kama yeyote anaweza safirishwa kwa King'ora. Watu wenye umaarufu mkubwa, ama wenye kutegemea negative attention from the crowd Vila shaka anaweza kupewa nafasi hiyo tena kwa kulipia, au kama uko na pesa nyingi on hand na ungependa kuzisafirisha from point a to point b unaweza pewa king'ora
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu.Ukitaka kusindikizwa ,unapeleka maombi kwa police unapewa ulinzi sababu zikijulikana .Ila unalipia kidogo.Ukiwa unapeleka hela benki au una taka escort kwa ajili ya msafara maalum na police wakaridhika basi unapewa tu huwa kwa hili halina ubaguzi polisi wako makini.
😃Whaterver, as long as the context is home and dry!
Maana yake nini??Neno King'ola ndo neno sahihi mkuu kwa mjibu wa kiswahili sanifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati unaweza ukasindikizwa kwa king'ola bila Hata kuomba wala kulipia. Mfano watuhumiwa wa ujambazi sugu na ugaidi, hupata offer hiyo bure kabisaaa wanapopelekwa na kutoka mahakamani. Pia ukiwa mahututi kwenye ambulance hiyo huduma ni bure
Ni mlio unaoshiria dharura au hali ya tahadhari.Maana yake nini??
Kuna wakati unaweza ukasindikizwa kwa king'ola bila Hata kuomba wala kulipia. Mfano watuhumiwa wa ujambazi sugu na ugaidi, hupata offer hiyo bure kabisaaa wanapopelekwa na kutoka mahakamani. Pia ukiwa mahututi kwenye ambulance hiyo huduma ni bure