Isaac1
Member
- Nov 12, 2018
- 79
- 70
Habari zenu
Niende kwenye swali langu moja kwa moja je mtu yeyote unaweza kwenda Police na kuomba uende sehemu na kusindikizwa na king'ola? Na gharama zake ziko je?
Maana jana nimeona Lulu wakati akiingia kwenye tuzo za Filamu alisindikizwa na king'ola.
Kwa baadhi ya nchi ni jambo la kawaida ila kwa Tanzania jana ndo mara yangu ya kwanza kumuona mtu binafsi akipelekwa sehemu na king'ola cha Askari wa usalama barabarani.
Nasubiri majibu yenu ili na mimi nisake pesa siku nikienda kijijini kwetu nipelekwe kwa king'ola.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app