Je ni nani anastahili kuongozwa na king'ola cha Polisi?

Kuna wakati unaweza ukasindikizwa kwa king'ola bila Hata kuomba wala kulipia. Mfano watuhumiwa wa ujambazi sugu na ugaidi, hupata offer hiyo bure kabisaaa wanapopelekwa na kutoka mahakamani. Pia ukiwa mahututi kwenye ambulance hiyo huduma ni bure
Kama ni mgonjwa lakini sio mahututi na ukapewa referal kutoka hospital A to B ukabebwa na Ambulance, je utalipia King'ora cha hiyo Ambulance? Au Ambulance itatembea kimya kimya kisa mgonjwa sio mahututi?
 
Back
Top Bottom