Je, ni nani ana tabia kama zangu?

Je, ni nani ana tabia kama zangu?

Wewe ni lazy (mvivu) tuu huna ugonjwa wowote, anza kuchangamka hata kwa kusafisha nyumba na kuamka mapema, kama una sehemu ya kuweka bustani Lima mbogamboga ili uwe busy na kuona matunda yako, ukiweza uwe unatembea, kama Kuna kiwanja karibu kacheze mpira au uende Gym kufanya mazoezi, Cha muhimu Kuwa busy na tafuta kitu Cha kukutoa jasho na kukufanya utumie akili yako
Nafanya kazi nimeajiriwa naongea mambo hayo nafanya off day
 
Hello.

Ni nani aliye na Hizi tabia .

1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.

2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.

3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.

4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.

5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.

6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.

7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.

8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.

9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.

10. Sina interest na mapenzi japo nina mke.
Nyie mnajuana wenyewe sisi WANAUME hatuna muda wa kipuuzi kama huo. Mngeolewa na Mwanaume kama mimi msingekuwa na muda huo wa kipuuzi.
 
Hello.

Ni nani aliye na Hizi tabia .

1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.

2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.

3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.

4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.

5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.

6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.

7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.

8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.

9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.

10. Sina interest na mapenzi japo nina mke.
Wewe Una IQ NDOGO Sana Ubongo wako umeganda Kama mafuta ya Mgando ili yayayuke uweke Juani Kwa hiyo Unahitajika Akili Kubwa Ikufundishe Vitu.

Sent from my SM-A146P using JamiiForums mobile app
 
Hello.

Ni nani aliye na Hizi tabia .

1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.

2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.

3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.

4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.

5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.

6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.

7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.

8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.

9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.

10. Sina interest na mapenzi japo nina mke.
Una ubinafs na utakutesa sana maishan. Jitahid ujali wengine na ujinyenyekeshe . Mkumbuke Mungu mapema na jali muda ndio tiba yako.
 
Hello.

Ni nani aliye na Hizi tabia .

1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.

2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.

3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.

4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.

5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.

6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.

7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.

8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.

9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.

10. Sina interest na mapenzi japo nina mke.
Lastborn?
 
Mkuu huu ushauri pita nao kama ulivyo. 👇
Tatizo kubwa hapo linasababisha hayo yote ni kuchelewa kulala unaweza sema utani

Hilo tatizo ukilitibu umemaliza hayo yote
Nashukuru nimepata mtu wa sample....

Wewe umeharibu mfumo wa usingizi unaitwa circadian clock... yaani kupata usingizi muda sahihi inatakiwa uwe unalala kuanzia saa tano kila siku ili kurekebisha mfumo huu wa circadian sleep

Amka mapema sana hakikisha jua la asubuhi linakupiga kila siku inaitwa light therapy hii

Ukilala hivi kwa muda wa week tatu
Matatizo yako yote yataisha ...mimi niamini mimi

Nakushauri tumia dawa diazepam /valium kwa muda wa week moja ikusaidie kuweka mfumo sawa circadian clock hizo valium tumia week tu...hizi dawa kuwa nazo makini usitumie zaidi ya week na meza muda wa saa tano kamili usiku ikipita hapo usimeze

Acha kutumia simu muda wa kulala hii ndo shida yako kuuu nunua simu ya kitochi kipindi hiki kuchat tumia computer

Nimekusaidia haya kama mtaalam wa hilo tatizo mwenye experience ....

So ukiamka unakuwa moodless maana umelala muda sio sahihi unapoteza mood kufanya jambo lolote.. .
Kuongezea ;

=>pata usingizi wakutosha,
=>tumia maji tu wakati wakulala baada ya kupata dinner.
=>Usitumie vinywaji vyenye kemikali soda (hasa hasa caffeine(energy drinks)).
=>Punguza/Acha kabisa kutumia smartphone Usiku.
 
Tatizo kubwa hapo linasababisha hayo yote ni kuchelewa kulala unaweza sema utani

Hilo tatizo ukilitibu umemaliza hayo yote
Nashukuru nimepata mtu wa sample....

Wewe umeharibu mfumo wa usingizi unaitwa circadian clock... yaani kupata usingizi muda sahihi inatakiwa uwe unalala kuanzia saa tano kila siku ili kurekebisha mfumo huu wa circadian sleep

Amka mapema sana hakikisha jua la asubuhi linakupiga kila siku inaitwa light therapy hii

Ukilala hivi kwa muda wa week tatu
Matatizo yako yote yataisha ...mimi niamini mimi

Nakushauri tumia dawa diazepam /valium kwa muda wa week moja ikusaidie kuweka mfumo sawa circadian clock hizo valium tumia week tu...hizi dawa kuwa nazo makini usitumie zaidi ya week na meza muda wa saa tano kamili usiku ikipita hapo usimeze

Acha kutumia simu muda wa kulala hii ndo shida yako kuuu nunua simu ya kitochi kipindi hiki kuchat tumia computer

Nimekusaidia haya kama mtaalam wa hilo tatizo mwenye experience ....

So ukiamka unakuwa moodless maana umelala muda sio sahihi unapoteza mood kufanya jambo lolote.. .
Mm pia naugonjwa wa jamaa na hii tiba niliambiwa mahali hakutaja tu valium
 
Tatizo lako uko selfish sana, usiwakatae watu.

Jaribu hii kanuni “usilolipenda libadilishe ila usiloweza kulibadilisha lipende”.

Kwenye kupokea simu hata mimi hilo tatizo ninalo, niko mvivu kuongea na simu au kuchati.
 
Kuna wengine hata hiyo kazi hawana na wanashukuru wanachokipata, cha msingi acha kujilinganisha na wengine sote tuna hitajiana hayupo anayemzidi mwingine.

Anza kuhesabu baraka ulizonazo kabla ya kuhesabu usivyonavyo kisha aim vitu vikubwa, maintain consistency na discipline niamini mambo yote yana majibu kama utayapa muda.

Uchawi unaanzaga na wivu wa kutamani tamani vya wengine
 
Back
Top Bottom