Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,762
Kweli kabisa kikubwa alekebishe kwenye swala zima la mawasiliano, wenyewe wanakwambia jifunze kuongea na watu vizuri.TATIZO LAKO LIPO HAPO NAMBA 4. Kama unaamini uwepo wa Mungu, basi tumia muda wako kuzungumza na Mungu wako. Pole sana
Najiskia vibaya napata hali Fulani kama ya uchungu kuona wenzangu wana drive magari wanakazi nzuri Mimi naunga unga tu.Kweli kabisa kikubwa alekebishe kwenye swala zima la mawasiliano, wenyewe wanakwambia jifunze kuongea na watu vizuri.
Nafanya kazi sio niko home nina familia .Wewe ni mvivu uliyepitiliza.
Tafuta kazi ambayo itakufanya unakuwa bize muda wote,hata mawazo ya kufakufa yatapotea yenyewe.
"An empty mind is a devil workshop".
Kivipi ?Umemfunga gerezani mtoto wa watu (mkeo)
Badilika mwenyewe la sivyo dunia itakubadilisha.Najiskia vibaya napata hali Fulani kama ya uchungu kuona wenzangu wana drive magari wanakazi nzuri Mimi naunga unga tu.
Uwa nalia sana kuna siku nakaa nasikiliza gospel tu.
Najisikia upweke
Madr wenyewe wana shida ya akiliUtakuwa na matatizo ya akili tafuta daktari wa magonjwa ya akili...sio kwa ubaya lakini sijakuita chizi..matatizo ya akili ni mengi lako pia ni tatizo waone wataalam wakufanyie therapy
Hello.
Ni nani aliye na Hizi tabia .
1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.
2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.
3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.
4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.
5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.
6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.
7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.
8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.
9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.
10. Sina interest na mapenzi japo nina mke
Tatizo kubwa hapo linasababisha hayo yote ni kuchelewa kulala unaweza sema utaniMadr wenyewe wana shida ya akili
Hello.
Ni nani aliye na Hizi tabia .
1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.
2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.
3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.
4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.
5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.
6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.
7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.
8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.
9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.
10. Sina interest na mapenzi japo nina mke.
Niko hivyohivyo, na Mke mwenyewe simtaki vilevile ,kulala bila kula kwangu kawaida tu.Hello.

Sipigi na sijawahiPUNYETO IMEKUATHIRI KIJANA