pmwasyoke
JF-Expert Member
- May 27, 2010
- 4,594
- 2,981
Iwapo ni shida kufika ofisini kwao na unataka maelezo ya kujiunga au mengineyo namba zao ni 0754800455, 0715800455.Hii utt ofisi zake zipo Dar peke yake au na mikoani!
Iwapo ni shida kufika ofisini kwao na unataka maelezo ya kujiunga au mengineyo namba zao ni 0754800455, 0715800455.Hii utt ofisi zake zipo Dar peke yake au na mikoani!
Gawio linatofautiana mwaka hadi mwaka. lakini kwa wastani ni kama 12% hivi, haijawahi kushuka chini ya 10. Cheki website yao kuna summary ya perfomance ya kila mfuko.
Inategemea na eneo ninapojengea mkuu, kuna maeneo kodi ni laki na nusu kwa mwezi so nikivuta hyo huoni niko mbali?Jenga nyumba kama itaisha na kama itaisha je kodi utalipwa shilingi ngapi kwa mwezi?
Labda kama mdau hpo juu alivyosema kuwa apart from hyo 1% ya kila mwezi kuna 14% ya mwaka, kama ni hvyo hpo angalau inamake sense.Hapana ni fair kwa sababu wao wanakufanyia kila kitu yaani unapata pesa ambayo ipo tayari kuliwa hujakutana na shuruba ya aina yoyote
Mikoan pia zipo, ingia Google utapata address kulingana na ulipo.Hii utt ofisi zake zipo Dar peke yake au na mikoani!
1% kwa miezi 12 ni sawa na wamekupa 12% ya faida yako. Sidhani kama faida ya mwisho wa mwaka itabaki kuwa 14%. Labda uniambie (14% - 12%)= 2% ndio gawio la mwisho wa mwaka.Labda kama mdau hpo juu alivyosema kuwa apart from hyo 1% ya kila mwezi kuna 14% ya mwaka, kama ni hvyo hpo angalau inamake sense.
Hata mm najua hvyo, bt kuna mwana hapo juu ndo nahisi nilimuelewa hvi.1% kwa miezi 12 ni sawa na wamekupa 12% ya faida yako. Sidhani kama faida ya mwisho wa mwaka itabaki kuwa 14%. Labda uniambie (14% - 12%)= 2% ndio gawio la mwisho wa mwaka.
Hakuna uwekezaji wenye return (14+12)% kwa mifuko yote ya utt.
Uko sahihi mkuu.1% kwa miezi 12 ni sawa na wamekupa 12% ya faida yako. Sidhani kama faida ya mwisho wa mwaka itabaki kuwa 14%. Labda uniambie (14% - 12%)= 2% ndio gawio la mwisho wa mwaka.
Hakuna uwekezaji wenye return (14+12)% kwa mifuko yote ya utt.
Sina uhakika ila 0688944180 Anaitwa Brother Waziri anahusika na mifuko hiyo unaweza mpigia akakujuza zaidiHii faida inatolewa kila mwezi, je inakuwa compounded kila mwezi au ni faida ya mwezi.
Mfano laki moja.
100,000*16% sawa na tshs 16,000
Kwa hiyo kwa mwaka ni 116,000
Au
Kuna utaratibu wanacompound kila mwezi?
Mkuu, Mimi naomba nisaidie kujua namna ya kujiunga hasa nikiwa mbali na ofisi zao.Asante mkuu, Mungu akijalia j3 nitaenda pale nipate zaidi na kujiunga kabisa.
Mkuu, unawezaje kuona trend ya uwekezaji wako kila siku/wakati?Kwakweli ni sehem nzr na sahihi sana kuliko kuweka hela bank, huku unaona trend ya ongezeko la hela yako each day, the more the deposit, the more the profit.
Kwa vile thamani ya kipande (Net asset value per unit) hukokotolewa kila siku kwa kila mfuko wao, unaweza kukokotoa thamani ya uwekezaji wako kila utakapo.Mkuu, unawezaje kuona trend ya uwekezaji wako kila siku/wakati?
Kuwa mbali ni ngumu mkuu coz kuna form ambazo unatakiwa kuzijaza pale pale na kuzikabidhi, so kama upo dar watembelee tu pale posta.Mkuu, Mimi naomba nisaidie kujua namna ya kujiunga hasa nikiwa mbali na ofisi zao.
Kila siku unapata notification kwa njia ya meseji mkuu, au pia unaweza ukaangalia salio kwa kutumia no yao, ukiweka hela nzr ni vyema ukae ata mwezi hvi ndo unlangalie, yan utafurahi.Mkuu, unawezaje kuona trend ya uwekezaji wako kila siku/wakati?
Karibu sana kiongozi, bongo ina vitu vizuri vingi bt wengi wanakula kimya kimya.Huu Uzi mzuri Jamani weeh
Ahsante Sana mleta mada..barikiwa..
Naendelea kusoma comments na kujifunza.
Nenda tawi la CRDB. Ni maajenti wa UTT. Pia waweza wapigia 0754800455, 0715800455Mkuu, Mimi naomba nisaidie kujua namna ya kujiunga hasa nikiwa mbali na ofisi zao.
Shukrani sana mkuuNenda tawi la CRDB. Ni maajenti wa UTT. Pia waweza wapigia 0754800455, 0715800455
Lo, hapo changamoto kwa sababu Niko mbali na dsm. Itabidi nisubiriKuwa mbali ni ngumu mkuu coz kuna form ambazo unatakiwa kuzijaza pale pale na kuzikabidhi, so kama upo dar watembelee tu pale posta.
Hukunielewa. 60m nilikua nazo nikaweka Jikimu wakati naendelea KUTAFUTA nyingine. Zilipofika 100m (yaani nilikua NAONGEZEA, sio faida ya jikimu) nikafikiria nijenge au niziache tu jikimu, jibu likawa faida ya kuziacha ni kubwa. Nafikiri tumeelewana sasa.Sasa mkuu 10% kwa 60M ndio unapata 100M kwa miaka miwili? Mbona sio sahihi?
NB: Sina nia ya kubisha. Naomba tu kueleweshwa kama nimekosea hesabu.