Je ni matoy gani mazuri kwa wanetu?

Je ni matoy gani mazuri kwa wanetu?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,497
Reaction score
5,271
03_10_h7psx3.jpg
MWANA UMLEAVYO...Mtoto mdogo anayeelelewa katika makazi ya Kulea Watoto Yatima na wasio na Makazi Maalum wa CHAKUWAMA kilichopo Sinza Dar es Salaam akiwa amemuwekea sanamu ya bastola mwenzake wakati wanacheza. Wazazi na walezi wanaopaswa kuangalia vitu vya kuwanunulia watoto kuchezea wakiwa wadogo kwani wanaweza kuona silaha halisi ndani na kufyatulia watu akidhani kuwa ni toi.
 
Back
Top Bottom