Je ni makosa ya wanafunzi hawa?

Maskini Jeuri

Member
May 9, 2011
80
10
Wanafunzi wawili wamegongwa na pikipiki wakivuka barabara mbele ya geti la shule, Wapi tanroads? Wapo kwenye siasa wanatekeleza ahadi za Vasco. Ni mara ya ngapi Leo Wamelala barabarani kuzuia magari kupita na wanadai matuta. Namwomba Mungu mwenyenguvu awazuie FFU wasiwapige tena risasi na ccm wasiseme tatizo ni CDM.
Kwanini kivuko/matuta yakosekane mbele ya shule?
Wadau semeni Kama hakuna uzembe hapa!
Source: Radio one breaking news
Amkeni!
 
Back
Top Bottom