Je ni kweli

NNYAMBALA

Member
Mar 3, 2011
85
12
Eti zamani kulikuwa na watu watatu wenye rangi nyeusi, baadaye Mungu akaleta maji ya kuoga, Mtu wa kwanza akaenda kuoga akatoka Mzungu, Wa pili alipooga akatoka Muasia na wa tatu kwa kuwa maji yalikuwa yamechafuta akatoka Mweusi ( Mwafrika)
 
Baadaye akawaita, akawaambia anataka kuwapima utiifu wao. Akawaambia wafumbe macho kwa sababu kuna kitu alitaka kufanya na hawakutakiwa kuona.

Mzungu mbishi, hakufumba macho, mwanzo mpaka mwisho.
Muasia mnafiki, akafumba kwanza, halafu akafumbua.
Mweusi mwaminifu kwa chochote anachoambiwa. Akafumba mwanzo mpaka mwisho.

Mungu alionyesha sayansi na teknolojia.

Mzungu aliona kila kitu. Ndio maana akitengeneza kitu kinakuwa imara na kinadumu.

Muasia aliona mwishoni tu, hajui hatua za mwanzo, ndio maana wakitengeneza vitu, vinaweza kuwa vizuri, vibaya, vibovu au imara. Wanabahatisha.

Mweusi.... Gizani mpaka leo. Hata wembe hajui unaanzaje kutengenezwa, kazi kusifia na kulaumu tu "kile kizuri, kile kibaya"

GUYS, IT'S JUST A bad JOKE!
 
Sasa mnatuchanganya kwa nn teke linalokuja lioneshwe wakati watu wamefumba macho au Mungu alikuladili na mzungu au ndo ule msemo mzungu Mungu ukitoa 'z'
 
Back
Top Bottom