Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,241
- 11,781
aiseeeewanajua mwanaume anatakiwa apewe mzigo ndo kichwa cha juu kikae sawa kwa hawana shida kabisa Mungu awabariki sana
aiseeeewanajua mwanaume anatakiwa apewe mzigo ndo kichwa cha juu kikae sawa kwa hawana shida kabisa Mungu awabariki sana
Kwaio ndo wabakuambiaga mimi nina kampuni na wewe unaanza kumuomba hela hahaha? Kampuni zingine ni mufilisi..zimefilisika..Mfano siku unamtongoza mwanamke why usimwambie siku ya kwanza asahau kuhusu pesa yako ili hizi kelele ziishe, tatizo mkitongoza mnakuja na swaga oooh mimi nina kampuni uwongo mwingi kuliko uhalisia wa maisha yenu
ZEti kaka yangu mshipa kama huna pesa ni lazima kumpatia bibie wako au kukimbilia kufungua uzi humu.